Recent content by MazaDs

  1. M

    JamiiForums Tanzania Nukta TANO za Mwigulu kutokuwa na hofu na Mungu na kuwa na sifa za ziada za ushetani ndani yake

    1. Dawa ni moja tu - ATUBU 2. Amejimaliza kisiasa - nani atakaa aamini matamshi yake?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Siku 5 zinatosha kuimaliza CCM nje ya Bunge.

    Kwa CDM hii ni fursa kubwa sana tumepewa, ikitumika "strategically" hakika tutakua tumewamaliza! Everything happens for a reason!
  3. M

    JamiiForums Tanzania Lukuvi: Filikunjombe ni mtu wa CHADEMA

    Msema kweli siku zote ni Mpenzi wa Mungu na ukweli siku zote unauma. Filikunjombe ni mzalendo isipokua amevaa kiatu ambacho sio chake (CCM). Wakati ufiki akivue! Nakufunika kwa Damu ya Yesu akuepueshe na wabaya wako.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Huu ndio utundu wa Lissu bungeni

    Siku zote mwenye kufahamu haki zake daima atazisimamia na kuzidai na kuhakikisha anazipata, come what may
Back
Top Bottom