Habari wapendwa,
Nina rafiki yangu ambae aliconcive mwezi mmoja uliopita lakini ndani ya siku 5 tangia aconcive aliona damu inatoka kama siku mbili mbele tukaamua twende hospital kwa doctor.
Akatuambia mimba imeharibika na inabidi asafishwe basi akamsafisha na baada ya hapo akampa vidonge vya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.