CRDB Ile Interview ya Sales Executives Majibu Vipi? Mlishaita watu? Wiki mbili zilishapita kitambo

Inanambo

JF-Expert Member
Jun 26, 2011
3,986
2,768
Kulikoni CRDB Wapendwa.

Nilifanya Interview zote pale Coca-Cola Mikocheni Feb mwanzoni. Mkasema majibu after two weeks. Mkanipa natumaini ya kuitwa kazini. Hadi leo March 8 hakuna majibu. Kuna walioitwa tayari?

Tujulishane Wandugu.
 
Back
Top Bottom