Recent content by Mayor Quimby

  1. Mayor Quimby

    Kwa neema ya bwana katika taifa la watekaji na wasaliti wa Taifa hili nipo salama, neema ya Bwana ikawe juu yenu wana jf

    CCM na dhambi za kuvunja democracy hayo tumeyazoea. CCM na dhambi za utekaji, ulawiti na mauaji; hili jipya.
  2. Mayor Quimby

    Majizi haya yanaweza kuuwa kweli

    Wote tunakubaliana MaCCM yote ni majizi. Lakini mijizi ifuatayo Nape Nnauye, Dotto Bitiko, Innocent Bashungwa, Selemani Jaffo, Hussein Bashe, January Makamba na Ummy Mwalimu. Sidhani kati yetu kama kuna mtu hiyo mijizi hipo tayari kuuwa ilimradi, iendelee kuiba. Ndio hao watu ni wadokozi...
  3. Mayor Quimby

    Kwa neema ya bwana katika taifa la watekaji na wasaliti wa Taifa hili nipo salama, neema ya Bwana ikawe juu yenu wana jf

    CCM sio weak ya kuteka na kuuwa watu hovyo. Kuna kitu tu hakiko sawa somewhere,
  4. Mayor Quimby

    Hivi namba 3 alifanyiwa usaili au ilikuaje??

    AI tena na technology hayo juu ya uwezo wao. Hapo walipo 70% ya succession planning yao kwa sasa ipo nje ya mategemeo yao. Kwa sasa ni kama wanaanza upya. CCM ni kama confused dot.com Hata wao huko walipo wamejifunza madaraka ya raisi na mwenyekiti wao ni shida. Wengi wa waliliolewa na...
  5. Mayor Quimby

    Hivi namba 3 alifanyiwa usaili au ilikuaje??

    Mambo yanabadirika walezi wa chama wa zama za Mwigulu wengi sasa hivi ni wastaafu au wanaenda kustaafu. Ilitakiwa kuwa zama yao kushika chama 2030, mungu akafanyake. Sio lazima Mwigulu awe raisi kipindi hiko. Hila najuwa waliokuwa wameandaliwa kama viongozi wa taifa huko mbele ni hakina Nape...
  6. Mayor Quimby

    Kesi ya Thadey Kweka: Utawala wa sheria, hauruhusu vyombo vya uchunguzi na mahakama, kuvunja haki za kikatiba na sheria, katika utoaji hukumu zake

    Tatizo zaidi viongozi wa kitaifa hawaoni najisi waliyoifanya. Saa zingine kuna mambo unayaachia fate.
  7. Mayor Quimby

    Hivi namba 3 alifanyiwa usaili au ilikuaje??

    Unadhani kwanini nimeandika succession planning ilikuwa madhubuti kipindi cha Magufuli kurudi nyuma. Mimi nimemjua Mwigulu wakati anatengenezwa kuwa kiongozi, akiwa anaambatana na mwalimu wake wa siasa kwenye ziara; hata ubunge hana. Unadhani wamefika tu hapo, mwalimu wake wa siasa, leo ndio...
  8. Mayor Quimby

    Kesi ya Thadey Kweka: Utawala wa sheria, hauruhusu vyombo vya uchunguzi na mahakama, kuvunja haki za kikatiba na sheria, katika utoaji hukumu zake

    Sasa mkuu hapo kuna utaratibu wa sheria kweli. Zama hizi za google, you just need to type ‘the right to be represented by an attorney in tanzania law’ upate mtiririko wa sheria za Tanzania zinavyotaka hivyo. Talking about theories of justice and the rights of defendants, is beyond many...
  9. Mayor Quimby

    Live Rais Samia: Salaam za Mwaka Mpya

    Amekemea utekaji? au hiyo ndio new norm kwake tuishi nayo.
  10. Mayor Quimby

    Hivi namba 3 alifanyiwa usaili au ilikuaje??

    Hao watu wametengenezwa kwa succession planning, walionekana ndio best candidates kwa elimu yetu na kuandaliwa kuwa viongozi. CCM kilikuwa chama ila something is amiss ukisoma haya mataahira ambayo leo wanajifanya wafiwa chama. Oh my god sijui wameokota wapi hawa waruga-ruga. Number 3 is not...
  11. Mayor Quimby

    Thadey Kweka apandishwa mahakamani leo Desemba 31, 2025 katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi

    Halafu usiku ‘bi-tozo’ katika salamu zake za kuaga mwaka atakwambia mambo ni shwari. Udhani kama anafahamu nini kinaendelea Tanzania, polisi hovyo na mahakama hovyo. Sio muda mrefu utamuona cha pombe bwana Kombo anakimbilia ubalozi wa marekani kutoa maelezo kulikuwa na mkanganyiko tu. Kama...
  12. Mayor Quimby

    Hii tekateka inaweza kuwa kikundi cha kigaidi kinajiseti Tanzania

    Kitu kikishaanza kuwa tabia iliyozoeleka huo ndio mwanzo wa tatizo. Na genge la watekaji washaanza kuona huo ndio utaratibu. Leo washaanza kuteka mpaka senior civil servants rejea Mwambe na kidhuru viongozi wa dini. Hata mmbuyu ulianza kama mchicha. Hiko siku hili jini serikali litashindwa...
  13. Mayor Quimby

    Askari Wetu na Watesi Wetu Mmejifunza Nini Hapa?

    Hawa watu washanogewa na matendo yao ya unyama kwa walipofikia.
Back
Top Bottom