kuwa na wanawake zaidi ya mmoja iko kichwani mwa wanaume karibia woote dunia nzima inahitajika self control kuwa na mwanamke mmoja.hakuna mwanamke anaetamani kushare mwanaume hajawahi na hatakuwepo.wanaovumilia ukewenza wengi wao ni hawana Pa kwenda period! Note:hata wanawake pia wanatamani...
wanaume na wanawake wanazaliwa kwa uwiano sawa, tena kwa miaka ya karibuni watoto wa kiume wanazaliwa wengi sana, watoto wengi wa kiume wanaishia kipindi cha baleghe, pita majalalani uone idadi ya watoto wa kiume waliokimbia makwao utastaajabu, bangi, pombe wizi vyote kwao, mara nyingi watoto wa...
Pole saaana, haya vipeperushi wanatoa wapi? Wanaomba sadaka? Ushawahi ona wanaomba chakula, ada hela ya matibabu sehemu? Unajua cost ya kipeperushi kimoja chenye rangi?ukiwa interested unapewa Bure.think big ndg!
Iliandikwa kwamba katika siku za mwisho, kutakuwa na watu we ye KUFANYA MAOVU YA KILA AINA, swali la kujiuliza Ni je Ni lazima mimi niwe mwizi, mzinifu, muuaji ili nitimize hayo ma andiko? Think critically.
Namaanisba b
👌👌
Noo! Niko kihumantarian zaidi nafikiria tu kuwa single mother sio kilema na Ni haohao wanaume wanaokataa kuoa single mother pande hii wakati pande ingine kazalisha mtu na kumtelekeza.
Ebu tuwe serious kidogo! Ina maana jamii yako WOTE Dada, shangazi, binamu hakuna single mother? Usingependa siku moja waolewe? Au single mothers Ni watoto wa majirani? Tuache ubinafsi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.