Recent content by mayengo

  1. M

    JamiiForums Tanzania Hivi Watangazaji wa Clouds FM wana shida gani?

    Nakuunga mkono mia kwa mia
  2. M

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya Habari na Habari ya Prof. Lipumba kujiuzulu Uenyekiti CUF

    Watu wanasema ukiweka ccm na tofali watu wanchagua tofali. Kazi itaisha mapema kabla ya saa nane zitakuwa zimetosha tayari
  3. M

    JamiiForums Tanzania Madiwani watatu Meru wajiunga CHADEMA

    Madiwani si walisha maliza muda wao?
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ni kipi kiwanja kikubwa cha mikutano Dar?

    Wana janvi nijuzeni tafadhali. Nimekuwa nikijiuliza ni kipi kiwanja kikubwa cha adhara chenye uwezo wa kukusanya umati mkubwa wa watu wakati wa matukio makubwa makubwa kama vile mikutano ya kisiasa hasa jijini Dar es Salaam? Achilia mbali viwanja vya mpira wa miguu, nataka kujua viwanja vya wazi...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Habari Nyingine Za Uzushi kuhusu UKAWA na Lowassa hizi hapa,

    source wapi?
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini ITV haitangazi habari za ACT-Wazalendo?

    ACT MAENDELEO ndiyo naaani?
  7. M

    JamiiForums Tanzania Lowassa Rais UKAWA, Mwenza - Slaa, Lipumba - Waziri Mkuu, Zitto naye ndani

    wewe hujii hata mgombea mwenza anapatikana vipi? Lazima atoke upande wa pili wa Jamuhuri ya Muungano wa Tz.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Kikao Cha UKAWA hakina msisimko?

    Tulikuwa na shahuku ya kuangalia vituko, mizengwe, goli la mkono alilopigwa Lowasa na mabegi ya noti
  9. M

    JamiiForums Tanzania Prof. Lipumba ajitosa urais UKAWA

    Hakika
  10. M

    JamiiForums Tanzania Tutakutana Oktoba 2020-CHADEMA!

    Ha ha ha ha ha ha
  11. M

    JamiiForums Tanzania Je, TBC hawaruhusiwi kusoma habari za CHADEMA?

    Hivi kumbe bado kuna watu wanatazama tbc? Labda tu kama hakuna namna nyingine ya kupata habari
  12. M

    JamiiForums Tanzania Nikiangalia uso wa Tundu Lissu namsoma namna hii...

    Tundu Lisu ni jembe la kweli.Ni lulu ya taifa. God blesss you Sir.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Ushindi wa JK, Mangula na Membe ni Pigo takatifu kwa Lowassa

    Whatever the case, EL atakutana na Dr. Slaa kwenye mchuano wa mwisho. Kwa hiyo wadau tujipange uko upande gani? Kubali au usikubali juu yako. Pesa nyingi sana imeshatumika kutafuta nafasi kwa ajili ya EL. Amua sasa.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Zitto awasilisha hoja binafsi juu ya walioficha fedha Uswiss

    Zito ni noma ile ngumu.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Tunaomba route ya TRENI: Pugu - Gongo la Mboto - Banana - Vingunguti hadi stesheni

    Asante kwa kuliona hilo kamanda, naunga mkono mia kwa mia.
Back
Top Bottom