Recent content by Mayelee

  1. M

    JamiiForums Tanzania Maneno ya Kiswahili yaliyotoholewa kutoka lugha mbalimbali

    In Manara language "Makolo" kiswahili sanifu ni mashabiki kindaki ndaki wa Simba.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Tunauza Magari aina mabalimbali

    Jamii forum ukiwa na roho ndogo, unaweza kugombana na watu mpk dunia ukaichukia. Haya sio majibu kwa mtu anaeuza mali yake tena pengine ana matatizo yake yamemtinga. Kwani ukipita bila kucomment kitu kwenye uzi wa mtu utakufa? Tubadilikeni bn
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mwalimu wa kufundisha Kiswahili online

    Asante kumkumbusha dada ake!
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mwalimu wa kufundisha Kiswahili online

    Sawa boss
  5. M

    JamiiForums Tanzania Nataka kwenda Oman kutafuta kazi, nishauri tafadhali

    Na mimi msaada jamani 0654973754. Tunaweza pata pakuanzia
  6. M

    JamiiForums Tanzania Nisaidieni wanajamiiforum wenzangu nipate kibarua chochote, hali yangu ni ngumu sana mpaka nimekata tamaa ya kuishi

    Mambo ya magari yanatoka wapi? Hapo na ww unajiita great thinker? Nipe no yako ya whatsap nikutumie leseni yangu. Mind you, sio kila anaeomba msaada hum unaweza mu undermine vyovyote ujisikiavyo, haya ni maisha tu hata ww hujayamaliza. All the best big boss tajiri wa dunia
  7. M

    JamiiForums Tanzania Nisaidieni wanajamiiforum wenzangu nipate kibarua chochote, hali yangu ni ngumu sana mpaka nimekata tamaa ya kuishi

    Sio hivyo mkuu, tatizo aliyecomment ni km ana enjoy mtu. Swali km lake limeshaulizwa huko juu na nimeshaeleza, then anakuja anasema hajaridhika na maelezo yangu, nijielezee kiasi gani anielewe? Coz km ni kosa nililifanya na imeshatokea sio mtu unakuja unasema nilifukuzwa kazi. Sijawah kufukuzwa...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Nisaidieni wanajamiiforum wenzangu nipate kibarua chochote, hali yangu ni ngumu sana mpaka nimekata tamaa ya kuishi

    Then km unaona huna mchango ht wa mawazo kwny thread ya mtu, its better to stay quit wala hutoonekana mjinga na sio kuleta ujuaji ht kwa yale usiyoyajua. Fatilia comments za wengine huko mwanzo nimejaribu kuwaelewesha na wameelewa we ni nani hadi nianze kukuelezea tena? Punguza ujuaji bro, hasa...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Nisaidieni wanajamiiforum wenzangu nipate kibarua chochote, hali yangu ni ngumu sana mpaka nimekata tamaa ya kuishi

    Natamani kuandika mengi kukuelewesha, ila nashindwa. Any way, kikubwa nimeomba msaada wakupatia kibarua. Iwe nilifukuzwa au niliacha basi tufanye ni mistakes imeshatokea. Pia sijaomba msaada wakusaidiwa pesa nomeomba kibarua ili nitumie nguvu, akili na maarifa niliyo nayo. Hata nikijielezea vp...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Nisaidieni wanajamiiforum wenzangu nipate kibarua chochote, hali yangu ni ngumu sana mpaka nimekata tamaa ya kuishi

    Nipo Dar es salaam ndg yangu, Kimara Stop over
  11. M

    JamiiForums Tanzania Nisaidieni wanajamiiforum wenzangu nipate kibarua chochote, hali yangu ni ngumu sana mpaka nimekata tamaa ya kuishi

    Mama yangu bahati mbaya mungu alimchukua mwaka jana mwezi wa 9, kwa sasa nipo Dar es salaam
  12. M

    JamiiForums Tanzania Nisaidieni wanajamiiforum wenzangu nipate kibarua chochote, hali yangu ni ngumu sana mpaka nimekata tamaa ya kuishi

    Sina sababu yakuongea uongo ndg yangu, mazingira ya kazi ya ualim hope unayafaham. Nilikuwa naishi kwenye chumba kimoja na sebule na familia yangu yenye mke na watoto wawili. Ningewezaje kumchukua mama na kuishi nae? Kiuhalisia nisingeweza ndg yangu. Ila asante pia kwa mawazi yako
  13. M

    JamiiForums Tanzania Nisaidieni wanajamiiforum wenzangu nipate kibarua chochote, hali yangu ni ngumu sana mpaka nimekata tamaa ya kuishi

    Matatizo ndugu yangu, ni historia ndefu. But kwa ufupi kwetu nipo peke yangu katika familia yetu. Baba yangu alishafariki nikiwa mdogo hivyo nikabaki na mama. Mama yangu nae alipararaizi ikanibidi niende kumuuguza maana sikuwa na pa kumuweka nilipokuwa naishi, nilijaribu kuomba likizo hata ya...
Back
Top Bottom