1. Nakula vizuri sana tena najitahidi kula Healthy
2. Nafanya sana mazoezi tena magumu ile mbaya. Actually shida hii imesababishwa sana na mazoezi haya. Nafanya mazoezi kwa masaa mawili daily kasoro Church day. Nimeanza kupata haya mabadiliko tokea nianze mazoezi.
3. Mawazo hayawezi kuisha...
Wadau,
Tatizo hili ni kubwa tena sana na wajanja ni wengi wanalia watu hela zao. Mie ni mmoja wa waathirika wa hili tatizo na nimetumia mitishamba sana na sijawahi kupona hili Tatizo. Wengi au wote wanauza Boosters tu.
Linaweza lisionekane kama Tatizo kubwa sababu maradhi yenyewe ni ya Siri...
Mwenyekiti wa Body ya Jatu ni mume wa NMB Managing Director. Itakua kuna mikono ya watu wazito ndio mana mpaka leo hao kina Isare na Simbano hawajapelekwa Segerea
Ni kweli ina ponya tatizo la nguvu? Na je, haina side effects za muda mrefu kama figo, ini na mwishowe Cancer?
How come sijaisikia ikitajwa sana hii kama zilivo Viagra na jamii zake?
Asante kwa ushauri ingawa hizo mashine za kutoa tairi mafundi wanasema zinawapotezea muda washazoea manual. Nataka zaidi kufahamu ni biashara inayolipa fast ama ni long term investment
Habari wadau
Nina visenti kidogo nataka kuwekeza nikuze mtaji. Biashara ni nyingi ila nahitaji ambayo sio pasua kichwa sana.
Kuna hii biashara ya pembezoni mwa barabara ya tairi za magari. Mwenye experience nayo naomba anijuze mchakato wake ukoje.
Yaani mzunguko wake wa pesa ukoje kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.