Recent content by Mayda

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mh Ahmed Shabiby wa Gairo asipewe sifa?

    Hakuna binadamu asiyekuwa na mapungufu sema tu wananchi wa jimbo lake wamemkubali sababu anawasaidia sana na ukizingatia bado kijana thus why hawataki atoke labda kama atatokea mpinzani wa kweli, au wewe ndiye yule na digirii yako waliye kukataa? Kumbuka MCHEZA KWAO HUTUNZWA sio mtu hata...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mh Ahmed Shabiby wa Gairo asipewe sifa?

    Acha kudanganya umma, Shabiby ameibadilisha Gairo sana tu na watu wake wanamkubali sana tu na hakuna wa kuweza kumtoa labda atake mwenyewe, hiyo ni taarifa tu nakupa kama ulikuwa hujui. SIRI YA MTUNGI AIJUAYE KATA. Waulize wakazi wa Gairo watakwambia kwann wanamkubali Mbunge wao hata kama si...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mh Ahmed Shabiby wa Gairo asipewe sifa?

    Wapi wewe si afadhali na Shabiby ameweza kujitoa muhanga kwa mlipua huyo FISADI wa maji mkoa wa Morogoro. Je, wewe Mbunge wako wamefanya nn? Na kwa taarifa yako sasa hv kuna uhaba wa maji Mkoa wa Morogoro lakini si kama mwaka jana tunaweza kukaa miezi hata miwili bomba halitoi maji sasa hivi...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mume wangu kakata mawasiliano ya 'Chakula cha Usiku' kwa miezi 8, Nifanyeje?

    Labda kama kuna tatizo lingine umefanya lakini sitaki kuamini kuwa hili la kutokuelewana na dada zake akuhame chumba kabisa au si rizki huyo mchunguze kwa makini.
Back
Top Bottom