Mume wangu kakata mawasiliano ya 'Chakula cha Usiku' kwa miezi 8, Nifanyeje?

Aisay wanaume wengine nawasifu, yani wanaweza kukaa miezi minane bila kufanya tendo la ndoa.


Afu raha upate mwanamke anaye amini kama unaweza kukaa vile, bila kupapasa paja zingine :biggrin:
 
Sitaki kuamini anapata mavitu kwa dada zake!!!
haiwezekani kukaa muda wooote huo. usikubadi halmashauri ya jiji lako iongozwe da hao madada.

Huyo mumeo aliolea ny..ge na hakuoa mke na sasa hizo ny..ge zimeisha
 
Nimekaa naye kwa ujasiri nimemweleza yaliyo moyoni mwangu nimemwomba abaki na mali zote mi nichukue watoto anipe talaka nikaanze maisha mapya Kakataa
 
Nimekaa naye kwa ujasiri nimemweleza yaliyo moyoni mwangu nimemwomba abaki na mali zote mi nichukue watoto anipe talaka nikaanze maisha mapya Kakataa

Huyo anakupenda sema tu lina gubu sijui kisirani,sasa anataka nini,my dear pole nimechukia sana,jidai una mtu na wewe,ukiwezekana uwe unaongea na simu hata na mdogo wako wa kike kimahaba pale unapohisi anaweza akawa around anakusikia.Vinginevyo fanya kweli pata kijana na make sure CONDOM inahusika,kisa cha kuwa na stress za too much nyege na mume unae.Wanaume jamani na sisi hua tunateseka na nyege,why kutesa wake zenu!inahusu,mwanaume kususa ni aibu, mwanaume wa kweli anatatua matatizo ya familia yake na sio kususa!
 
Siku hizi wanawake ni kero kuliko wanaume. Wengi wanaliwa na madereva wa bodaboda. Mie nina wasiwasi jamaa kasusa kwa sababu mke wake analiwa na vijamaa vya bodaboda

ataliwa kama wewe humpi haki yake,wewe upo na huumwi halafu unakatalia dude lako,ataenda ndio kwa mwanaume wa kweli anaetumia dume!!
 
Ndo tatizo la kuolewa na vivulana vilivyo kwenye miili ya wanaume lijali. Cha msingi kama alivyokushauri Lara 1 hapo juu wewe jikwatue upendeze na uwe unatoka toka kinamna lazima wivu utaibuka. Tatizo umeonekana kukomolewa kama lilivyo lengo lake ndio maana jamaa anazidi kukomaa tu. Na akitaka chakula tu mwambia hupati kitu hapa mpaka angaza kwanza, maana siku hizi maradhi mengi.
 
Anadai sababu kuu ni mimi kutowatii dada zake hivyo ameamua kuhama chumba ili na kukata huduma ya chakula cha usiku kwa miez 8 sasa kunikomoa...

Ni kweli kabisa kuwa mimi na dada zake tumeshindwa kuelewana kabisa kutokana na wao kutaka kunipangia masharti nyumbani kwangu jambo nililolipinga kwa nguvu zote.

...Mume wangu yeye sijui anawaogopa au anawaheshimu hvy kila kitu wanampangia.

Nisaidieni nifanyaje mana uzalendo unakaribia kunishinda na kucheat siwezi kabisa na wala sitakaa niweze...

Nimejaribu kumbembeleza kwa kila khali lakini kasusa, WHAT CAN I DO MY DEAR FRIENDS? Maana upweke umenichosha

Pole sister. Chakula cha usiku amegomea, je chakula cha kawaida anakula? Kama anakula ujue bado anakupenda, kama nacho amesusia hapo kuna tatizo.

Pamoja na ushauri mzuri uliotolewa ma waliotangulia, nakushauri ujipende zaidi. Vaa mavazi mazuri zaidi. Kama haujajiajiri au kuajiriwa pata ajira. Hii itamfanya aanze kuingiwa kiwivu fulani, akifikiri kuna mtu anayekujali huko nje. Believe me atarudisha mapenzi mwenyewe. Na siku atakayorudisha jitahidi kumpa maujuzi yote mpaka adate.
 
Miezi 8!!!!Its more than issue ya dada zake! Nakushauri uchunguze zaidi utagundua.
 
Huyo anakupenda sema tu lina gubu sijui kisirani,sasa anataka nini,my dear pole nimechukia sana,jidai una mtu na wewe,ukiwezekana uwe unaongea na simu hata na mdogo wako wa kike kimahaba pale unapohisi anaweza akawa around anakusikia.Vinginevyo fanya kweli pata kijana na make sure CONDOM inahusika,kisa cha kuwa na stress za too much nyege na mume unae.Wanaume jamani na sisi hua tunateseka na nyege,why kutesa wake zenu!inahusu,mwanaume kususa ni aibu, mwanaume wa kweli anatatua matatizo ya familia yake na sio kususa!
lakini mbona wanawake wengi hawasemi wakiwa na nyege?
 
wengine ata kama wanapewa na nje ni mtindo mmoja unasemaje?

Wachache au hamna kabisa,vinginevyo labda anamtia tu bora liende,na anaona kabisa wife hajafika lakina anapotezea na kukoroma juu.na wengine akishamzoea mkewe basi nikumwingilia tu bila maandalizi.as a result mke asie mvumilivu akipata kidume huko anaona ngoja nikajikumbushie enzi ya fujo!!Wengine wanatoka kulipiza mume alivyomtenda,kwa kweli wanawake ni waaminifu ila akitibuliwa ni soo!kama mnyama!!
 
Labda kama kuna tatizo lingine umefanya lakini sitaki kuamini kuwa hili la kutokuelewana na dada zake akuhame chumba kabisa au si rizki huyo mchunguze kwa makini.
 
Something smell fishy here,

Sina uhakika sana but kama tungeweza kujua labda ni mambo gani hasa wanawapangia ningejaribu kuunganisha maneno ili kujua hasa nini tatizo. But let me try to imagine;

Pamoja na kwamba hamko chumba kimoja na hakuna unyumba kwa miezi minane sasa bado anaonekana hayuko tayari kutokuwa na wewe. Sasa swali la msingi hapa la kujiuliza ni je, kwanini alikuoa wewe wakati hataki kuwa karibu na wewe? Is there any story behind you guys getting married?

Well kabla hatujapata hayo majibu let me think kidogo, it seems like huyo bwana is very mtoto coz kwenye age ya kufikia kuoa maana yake unaweza kufanya maamuzi yako mwenyewe na familia yako kwa maana ya mkeo na watoto wako mtakapowapata (Hata vitabu vya dini vinasema hivyo) kwahiyo napata tabu kidogo ya maturity ya huyo mumeo.

Labda nikipata maelezo kidogo kuhusu hayo niliyouliza hapo juu naweza eleza zaidi but kuna kitu sio cha kawaida sana kinaendelea hapo. Dah wanawake wanaweza kuvumilia kweli, miezi minane!
 
duuuuu,miezi 8??,huyo jamaa lazima atakuwa na goma la nje anajipooza anakuzuga yupo kwenye mgomo baridi,eniwei,mi namchukulia ka mwehu tu kwani hajui kama yeye na ww ni mwili mmoja na hata vitabu vya mungu vinasema hvyo na sio dada zake,ukiona anazidi na wewe una minyege usisite kuniPM,mm ni baba huruma
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom