Recent content by mayange

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa Bunge kupiga kura Kupitisha au Kukataa Bajeti ya Serikali una tija kwa Wananchi?

    ukimuuliza maswali hayo hawezi kukujibu anazunguka, atakwambia serikali ya awamu ya tano haina mchezo. serikali ya awamu ya tano imejipanga kweli kweli itanyosha na kurekebisha kero zile tulizozisema kwenye katiba
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa Bunge kupiga kura Kupitisha au Kukataa Bajeti ya Serikali una tija kwa Wananchi?

    hata yeye kajipanga Kaja na ilani kabisa. alichoniboa ni kusema hata bunge lijadili vipi ccm ndiyo inayotoa maelekezo. sasa kama ni hivyo kuna haja gani ya kupoteza mda na fedha za bunge? si kila kitu tufate ccm?
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa Bunge kupiga kura Kupitisha au Kukataa Bajeti ya Serikali una tija kwa Wananchi?

    Dr Marcossy kambana Mpaka kakoma ..aise Marcossy yuko vizuri
  4. M

    JamiiForums Tanzania Lissu; Nia njema ya Magufuli inatupeleka pabaya

    kazi kweli kweli
  5. M

    JamiiForums Tanzania Maendeleo yaingia Kigoma kwa kishindo, Hongera Serikali

    hata miundo mbinu za pale mjini safi kabisa
  6. M

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Wasidhanie kumfunga Lijualikali wanamuondolea sifa za kuwa Mbunge

    Hahahaha umenichekesha mkuu
  7. M

    JamiiForums Tanzania Safari yangu ya kumuona Maxence, nimejifunza mengi gerezani

    inaniuma basi tu. hatuna ujanja
  8. M

    JamiiForums Tanzania TANZIA: MwanaJamiiForums mwenzetu Mwalimu Kaijage, afariki dunia

    R. I. P rafiki yangu kaijage. nimepambana na wewe mwaka 2008 katika Maisha tukijiita warefu camp. ilikuwa kabla hata hujaipenda siasa. inauma Sana ulianza vizuri. pumzika mrefu camp
  9. M

    JamiiForums Tanzania Jipu la Jijini Mwanza limewiva, mheshimiwa tunakuhitaji uje kulitumbua!

    hilo jipu linahusiana na nini
  10. M

    JamiiForums Tanzania Hisia za Katibu Mkuu CHADEMA Taifa zaanza; Je, Marcossy Albanie atatufaa?

    sumaye kafanyeje?
  11. M

    JamiiForums Tanzania Hisia za Katibu Mkuu CHADEMA Taifa zaanza; Je, Marcossy Albanie atatufaa?

    kiukweli marcossy ni moja kati ya viongozi makini anafaa sana kuwa Katibu mkuu.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Hisia za Katibu Mkuu CHADEMA Taifa zaanza; Je, Marcossy Albanie atatufaa?

    umemjuaje? yukoje? au majungu tu?
  13. M

    JamiiForums Tanzania Hisia za Katibu Mkuu CHADEMA Taifa zaanza; Je, Marcossy Albanie atatufaa?

    uwezo wako wa kufikiri umeishia hapo mkuu.
Back
Top Bottom