Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 48,682
- 149,886
Nadhani Zitto(kama ilivyo kwa Lissu) atakuwa ameshagundua njia ya pekee ya ku-deal na watawala wa awamu hii ni kuibua madudu yao na kuyaweka wazi moja kwa moja kwa wananchi ili 2020 wafanye maamuzi sahihi.
Hivi sasa Mahakamani hakueleweki ,Bungeni nako shida,Vyombo vya Habari navyo vinaishi kwa wasiwasi hivyo nao(wapinzani) wakikaa kimya itakuwa ni hatari mara mbili na bwana yule atatamba kiasi kwamba watu wasijue madudu yake na hiki ndio ambacho Zitto kakishitukia na ndio maana siku hizi analipuka (nampongeza).
Kama mtakuwa mme-note,siku hizi baadhi ya mambo mazito yanaishia huku mitandaoni tu ila kwenye vyombo vya habari hayaandikwa.
Kwa mfano,issu ya kujenga uwanja wa kimataifa wa mabiliioni huko Chato imekuwepo hapa JF na bila shaka kwenye mitandaoni mingine kwa muda tu ila niambieni ni chombo gani cha habari kimejaribi kuripoti,kuhoji au kufanya uchambuzi wa hili jambo.
Alichogundua Zitto bila shaka ni kuwa mambo haya yasipopewa msukumo na upinzani, hayatawafikia wananchi wengi na pia hayataripotiwa katika vyombo vya habari lakini wapinzani wakiyasema na waandishi itakuwa rahisi kwao kuyaandika na hivyo yatawafikia wananchi wengi zaidi.
Wapinzani msipomuiga Zitto,huku mahakama hazieleweki,Bunge mtegoni na waandishi kikangaoni,ya bwana mkubwa mengi hayatajulikana kwa wananchi na hii itakuwa disadvantage kwenu na advantage kwake na hiki ndio bwana mkubwa anakipigania ili mambo yake yasijulikane.
Hili jambo nawaeleza wapinzani kila siku ila kwa style tofauti na ninakiri Zitto ndio ananipa nguvu ya kulirudia kutokana juhudi anazofanya na impact tunayoiona.
Nina hakika baada ya Zitto kuhoji ili Chato,habari hii itaripotiwa na kuandikwa na vyombo vingi zaidi vya habari tofauti na kama habari hii ingeishia tu kuwa ni habari ya mitandaoni.
Sasa wapinzani kazi kwenu mfuate mfano wa Zitto na Lissu au muendelee kukaa kimya mkitegemea matokeo mazuri(mchague kusuka ama kunyoa).
Tusipowashauri au kuwakosoa wapinzani sasa,basi tujue hatuna haki ya kuja kuwalaumu wakijfanya vibaya hapo baadae.