Na hata kama zikiwepo zote mbili ....mazingira hayo alotaja jamaa sio ya nia ya kumuua ..pengine ametaka kumuumiza kuhisia au vyovyote vile ikiwa anajua....jambo hilo halitoweza kupokelewa vzuri...mazingira hayo yanaweza kuwa "Actus reus" na "Mens rea" ipo lkn kosa likashuka na kua...
Kuacha mtu usiempenda sio kosa kisheria ...ila kitendo hicho cha kuacha na namna ambavyo utaamua kumuacha mwenza wako ndio inayoweza kupelekea "UZEMBE" wa ww kuwajibishwa ...kwa sababu "UZEMBE" wa huyo jamaa ame "foresee consiquence" ambayo itatokea na kuamua kuzifikisha habari izo kwa kutojali...
Hapo inakuja issue nyengine kisheria inaitwa "Compulsory" $ "coersion" ambapo mtu wa namna hiyo yani alielazimishwa kuongea kisicho ndani ya matakwa yake.
Inaweza kutumika km defence kwenye appeal na kesi ikaendelea zaid . Imetajwa katika sheria ya makosa ya jinai (PENAL CODE SECTION 17.)
Asante, kwa scenario ya kwanza.
hutokua na kosa la kujibu na hutowajibika kwasabbu umefanya kila uwezalo kuepusha dhuru lolote .
Kwa scenario ya pili.
lazima uwajibike kisheria sababu ulichofanya ni uzembe na ulikuwa na uwezo wa kuzuia dhuru juu ya aliekufa.
kisheria ume "ommit" wajibu wako...
Asante, maswali yako ni mazuri mno...ila ningependa kutetea muono wako juu ya sheria iliotumika kuhusu kesi ya "JAMHURI V. LULU" ...kwa mujibu wa mlolongo wa kusikiliza "parties" za kesi husika mtu anaweza kuwa convicted na mahakama ikajiridhisha kua ametenda kosa dhidi yake pale tu anapoamua...
DEFINITION(MAANA)
Kuua bila kukusudia "BLACK LAW DICTIONARY 8TH EDITION 2004,P.3056
Limetoa maana kua "ni kitendo cha kuua binaadam bila ya nia ya kufanya hivyo" .....ni kwamba , bila ya kua na nia ovu mtu anaweza kusababisha kifo kwa mtu mwengine na akajikuta anawajibika katika mlolongo wa...
Huyo jamaa atawajibika kwa kuua bila kukusudia ...
kwanza kitendo cha yy kumtumia ujumbe mpenzi wake akijua kua usaliti ni jambo lisilojema ni wazi kua anatambua anachokifanya sio sahihi"actus reus" ....na kufanya hivo anajua kua kitasabbisha hali isio nzuri kwa mpenz wake na kuamua kufanya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.