Recent content by May21

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kweli oa Mchaga upate maendeleo na oa Mtanga upate mapenzi

    Heee!mwanaume asiojua majukumu yake huyoo!mshafanya wanawake ndo mitaji yenu! Sent using Jamii Forums mobile app
  2. M

    JamiiForums Tanzania Muhimbili hii ni aibu, msipotumbuliwa ntashangaa

    wataalam wetu hawataki kujifunza vitu wanavyoviona vigumu!Masuala ya DNA,cjui APS syndrome, Genetics and alike kwny mahospitali yetu hawayataki kuyasikia kabisa!wanayaita magonjwa magumu! Sent using Jamii Forums mobile app
  3. M

    JamiiForums Tanzania UTAPELI: Afisa Utumishi Tandahimba anawauzia walimu vitambulisho vya kazi kwa 17,000/=Tsh

    Ni sawa!ila nilitegemea mwandishi aseme Mtaaluma na sio Afisa utmishi!kwn hyo anaewapigia simu walimu ni mtaaluma na sio Afisa utumishi!Ila what ever the case ila najaribu tu kuonesha kuwa kabla hujampa mtu allegations kubwa hvo unatakiwa ujiridhishe ili usimuonee mtu
  4. M

    JamiiForums Tanzania UTAPELI: Afisa Utumishi Tandahimba anawauzia walimu vitambulisho vya kazi kwa 17,000/=Tsh

    Hiyo hadithi mbona unamhusisha Afisa Utumishi wakati huna ushahidi wte!kwani kwny msg inaonyesha imetumwa na Mtaaluma Masoud na kwny clip sauti inayosikika inamtaja tu Afisa Utumishi!Tutaaminije km ww ndio masud uliendika hyo msg na kurekod hiyo clip!#MHANGA WA CHETI FEKI#STD VII#AFISA UTUMISHI...
Back
Top Bottom