Recent content by Maxmax72

  1. Maxmax72

    Tanzania tunatakiwa kuwa na Marefa MAKINI kama yule wa fainali ya Caf - Zanzibar

    Makolo wata kufinyia Kwa ndani Bado wana uchungu hawataki kuzaa
  2. Maxmax72

    Simba 1-1 RS Berkane| Agg: Simba 1-3 RS Berkane | RS Berkane Bingwa CAFCC 2024/205

    Anzisha na wewe forum Yako upange cha kuandika.
  3. Maxmax72

    Simba 1-1 RS Berkane| Agg: Simba 1-3 RS Berkane | RS Berkane Bingwa CAFCC 2024/205

    Kajinyonge mlishazoea kubebwa na karia na kasongo mngewambia wawasaidie.
  4. Maxmax72

    Simba 1-1 RS Berkane| Agg: Simba 1-3 RS Berkane | RS Berkane Bingwa CAFCC 2024/205

    Makolo ni takataka za chooni *** up
  5. Maxmax72

    Jaribio la kinga dhidi ya ukimwi nchini Rwanda, laleta matumaini

    Na walio Kwisha kunasa hawana dawa?
  6. Maxmax72

    Match ya Leo Simba Akila Kichapo cha kuanzia goli 3 msahau Match kuchezwa kwa Mkapa.

    Kwenye matatu limebaki moja ila mm naona dalili za nne.
  7. Maxmax72

    PreGE2025 No Reforms No Election yaingia Buchosa, Shigongo akalia kuti kavu

    Shigongo ni tapeli hatari Sana huwa akija jimboni kwake machawa anawakodia bodaboda kumfuata anakokwenda kufanya mkutano wa hadhara ili ionekane kajaza nyomi sasa ajabu ni kuwa akidaiwa pesa na hao bodaboda hataki anasema wampeleke popote.
  8. Maxmax72

    Ipi suluhu ya kuboresha uwezo wa kuona?

    Haya majani ya green label nayapata wapi?
  9. Maxmax72

    Baba aua mwanae kisa kuchelewa kutembea, atupwa jela miaka 15

    [emoji28][emoji28] dah jamaa ni chizi fresh,,,ila mtoto nae mzembe kweli mwaka na nusu Bado anajivuta kama nyoka,mm nimetembea nikiwa na miezi 8 tu.
  10. Maxmax72

    Wenyeji wa Mahenge semeni kuhusu shughuli za uchimbaji dhahabu huko

    Halafu si ajabu ni I'd za member mmoja.
  11. Maxmax72

    Wenyeji wa Mahenge semeni kuhusu shughuli za uchimbaji dhahabu huko

    Kikubwa nilicho kiona ni kuingia site tu
  12. Maxmax72

    Wenyeji wa Mahenge semeni kuhusu shughuli za uchimbaji dhahabu huko

    Hayo maeneo inaonekana hakuna uchimbaji wa dhahabu mbona mdau hapo juu amesema wanachimba
Back
Top Bottom