Ningependa kufahamu, je mahusiano ya rafiki wa mpenzi wako ni jinsi gani yanayoweza athiri mapenzi yako?
Maana imekuwa ni changamoto sana, asilimia kubwa ya maisha ya mpenzi wangu yuko na rafiki yake kila sehemu. Sasa mapenzi ya rafiki yake ni yako moto hata mimi naona kbsa kweli yameiva, jamaa...
Wanaume tumetekwa sana na mfumo jike unaoendelea sasa hivi hata bila sisi kutambua;
hata mwanamke akikamatwa kaiba hawezi pigwa kama mwanaume. Na cha kushangaza wanaume walioingilia mwanamke huyo asipigwe na kudhalilishwa ndio watampiga mwanaume mwenzie mpaka kumchoma moto. Inasikitisha sana
Sina nia mbaya, lkn kuna wadada nawajua mimi hawana hata 500tz ya kununua chai ni kugombana nao kila siku kudaiana pesa tu, mbona hii inalipa kwa kiasi kujiegesha huku unaangalia fursa nyingine, sema watu wengi waliomo humu wanaotoa maoni na kulalamika! kidogo wanakipato hawajui kuwa huku mtaani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.