Je kuna mpango gan kuboresha huduma ya umeme Wilaya ya Ukerewe ambayo inapokea umeme kutoka bunda kupitia ziwa Victoria (Kisorya-Ngoma) ambapo kumekua na shida kwenye marine CABLE kila wakt hali inayopelekea wakazi wa ukerewe kukaa hta wiki nzima bila umeme
Hata ungeongezwa mshahara uwe milion 7 kwa mwezi bado ungelalamika mshahara mdogo na ungelilia annual increament
But lengo langu me ni kujua basic salary tu ya anaeanza kaz
Kazi ya kanisa sio kujenga shule, kiwanda, barabara, hospital, reli bali ni kuwaimarisha watu katika Imani na nyonyo Safi. ....Tanzania ya viwanda ndy mnataka ijengwe na kanisa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ifike wakti tujenge hoja zenye tija tofauti na kua bendera wafuata upepo. ..Dr.Kigwangala alichosema kuna uwezekano wa athari za matumiz ya madawa ya kulevya kumfanya mtu kuzungumza vitu ambavyo vinaweza leta picha tofauti. ..mfano mtu akilewa anaweza toa lugha ya chafu kwa mtu yeyote au kufanya...
Je ni kweli kwamba Mzumbe kuna wanafunz wengi kiasi kwamba wanasoma kwa shift ya miez 3?
Na Mzumbe Inatoa course zipi?
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.