Recent content by mawiooo

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mtangazaji Gerald Hando wa Clouds FM awe makini na maneno yake ya kudhalilisha watu

    Unapiga viroba wewe siyo!!
  2. M

    JamiiForums Tanzania Tanzanite One Mining Ltd yaelekea kufilisika

    Mmmhh ngoja tusubiri walioeneo la tukio waseme naona wewe hujakamilisha habari
  3. M

    JamiiForums Tanzania Hii Ndiyo Tano Bora ya CCM

    Nimeona maoni yako tusubir cc
  4. M

    JamiiForums Tanzania Aliyechora ramani ya dunia alikuwa amekaa upande gani?

    Swali zuri la kielimu lkn watu badala ya kujifunza wanaleta mzaha tu ....
  5. M

    JamiiForums Tanzania Faini ya Sh10,000 ya ngono ni dhihaka - ukahaba tishio kubwa Dar

    Candid Scope Makala imefanyiwa utafiti haya nani wa kwanza kulalamika?
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mimi binafsi ningependa Pinda awe Rais

    Mtu anayelia akiwa Wazir mkuu je akiwa rais itakuwaje
  7. M

    JamiiForums Tanzania Tahadhari: Utumiaji wa vyoo vya Mlimani City

    Kweli? Nimekuwa pale juzi naona kama wanajitahidi?
  8. M

    JamiiForums Tanzania Membe aapa kuwaangamiza wafanyabiashara wa mawe mkoa wa Arusha

    Kauze Majabali huna ujualo
  9. M

    JamiiForums Tanzania Membe aapa kuwaangamiza wafanyabiashara wa mawe mkoa wa Arusha

    Unadandia kwa mbele utagongwa vibaya. Ninyi ndo wale mtu huelewi Mara unarukia tu. Mm namwambia Kloriti kuhusu lile analodai kuwa eti kuna michango ya wataka urais wakati hayo ni mauzushi na uongo mkubwa nawewe unakuja kama pishi la ubwabwa kaliwe mbele kule!
  10. M

    JamiiForums Tanzania Wasauzi wajitoa kwenye machimbo ya Tanzanite Wauza Hisa Zao

    Kawaida ya wabongo ni majungu na fitna
  11. M

    JamiiForums Tanzania Wasauzi wajitoa kwenye machimbo ya Tanzanite Wauza Hisa Zao

    Wabongo bana MTU anaamka asubuhi na gongo za Jana anaanza kuandika mambo hata akiulizwa hana hoja. Fuatilia habar acha ukuda
  12. M

    JamiiForums Tanzania Membe aapa kuwaangamiza wafanyabiashara wa mawe mkoa wa Arusha

    Wewe ni muuza majabali au biashara gani mbona hueleweki kwa maongezi yako una onekana ni PUMBA tupu kichwani, kwa kikwetu wewe ni LAWALIMOO, hizo habari unazoeleza sisi ndio wafanyabiashara wakongwe hapa Arusha hiyo michango lazima tungesikia, Leta hoja yenye akili tujadili usitupotezee muda.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Membe aapa kuwaangamiza wafanyabiashara wa mawe mkoa wa Arusha

    Mwandishi naona habari zako ziko nusu nusu weka stori vzr ieleweke sijakuelewa kabisa!!
Back
Top Bottom