Mkuu Kapolo.
Lengo la uzi huu ni kuwaleta pamoja wadau wenye nia/lengo mmoja, kwa hio hoja yako inaangukia kwenye lengo la uzi Mkuu.
Tuko pamoja ndugu yangu.
Shukrani,
¬Mawio :):)!!!..
Akhsante sana kwa ushauri Mkuu Mathias Elias.
Nina uhakika watu wengi watakuwa wamenufaika na ushauri wako kupitia uzi huu.
Tuko pamoja Mkuu.
Nikutakie kheri ya sikukuu za mwisho wa mwaka na mwaka 2019 wenye mafanikio mengi sana upande wako.
Shukrani sana,
¬Mawio :):)!!!..
Ha ha ha ha ha ha ha ha!!!..
Mkuu Mathias Elias, unauogopa umasikini Mkuu?!! Mie nimetokea huko na tunavyoongea ninapamba kukabiliana nao.
Mkuu Mathias, sentensi yako imenifikirisha sana, tuombeane uzima, ninaendelea kufanya kazi kwa bidii na maarifa ninaamini siku moja nami nitakuwa kwenye...
Mkuu BlackPanther.
Heshima mbele.
Kwa maana ipi, hutajali kutufafanulia kidogo labda kuna kitu tume-miss ukawa umetusaidia.
Shukrani Mkuu.
¬Mawio :):)!!!..
Ha ha ha ha ha ha ha!!!..
Mkuu Extra miles, heshima mbele ndugu yangu.
Hapa nimeona umuhimu wa miwani na kile ki-tufe cha "Preview" kabla huja-post na kila mara unapopitia uzi wako Mkuu.
Tuko pamoja, nishafanya masahihisho stahiki kwenye bandiko husika.
Nikutakie kila la kheri unavyofunga...
Mkuu Kyata!!!..
Heshima mbele.
Tumsubiri Mkuu Sirajj Johnn najua atakuja na taarifa zaidi kuhusu hilo.
Pia wakuu wengine ambao hilo ndilo eneo lao la kazi ndugu yangu.
Natanguliza shukrani.
~Mawio :):)!!!...
Mkuu Mzee Kigogo!!!..
Heshima mbele ndugu yangu, there is "POSSIBLE" in "IMPOSSIBLE"!!!..
Tuendelee kuombeana uzima Kaka.
Nikutakie kheri ya sikukuu za mwisho wa mwaka na uingiapo 2019.
Tuko pamoja Mkuu.
Shukrani,
~Mawio :):)!!!..
Mkuu Chief.
Heshima mbele ndugu yangu.
Kuna wakati unaweza kupata Passo kwa bei hio na kuna wakati unaweza kupata Landcruiser (iliyotumika) kwa bei hiohio Mkuu, inategemea mazingira tu ndugu yangu.
Kwa sasa naendelea kusubiri muda unikanushe kuhusu haya mawazo yangu Mkuu.
Nikutakie kheri ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.