Recent content by MaweSaba

  1. MaweSaba

    JamiiForums Tanzania Ndejembi: Kama tuweza kununua V8 na kupata posho za mikutano, kwanini tusijibane tukawekeza kwa vijana kwa ajili ya taifa letu?

    Wazo ni zuri, ila mnawasaidiaje vijana? Hawajiwezi? Zile 200 million zilienda wapi? Nadhani namna pekee ni kurudi kwenye falsafa za ujasiamali alizokua nazo JPM. Jiajiri, kua mbunifu, pata kipato... utalipa kodi baadae
  2. MaweSaba

    JamiiForums Tanzania SERIKALI ITUMIE RASLIMALI ZAKE VIZURI KWA AJILI YA UOKOZI

    Maisha ya Mtanzania yana thamani gani? Ni swali najiuliza kila siku linapokuja maswala ya majanga hapa nchini ya maji, moto, ajali za barabarani na mengineyo. Ajali ya ghorofa kaiakoo, ilichukua wiki kufanya zoezi la uokozi Meli kuzama Zanzibar na Lake Victoria mpaka leo bado kuna...
  3. MaweSaba

    JamiiForums Tanzania Ni marufuku ndege ya abiria kukatiza eneo hili la Anga ya morogoro

    USA hapo nawaonaga smart, wanaikimbiza ulimwengu kujiona hata silaa wanazopigia parade ndani ya miaka 5 hazina thamanj tena
  4. MaweSaba

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kupitia jicho langu siku ya October 29, 2025

    Ripoti ilikua yake, ya nini kupeleka ushahidi?
  5. MaweSaba

    JamiiForums Tanzania Biblia ni kitabu kinachoongoza kuwa na migongano mingi na pia ni illogical

    KWamba wanyama wa kufuga tulijipa sisi? Uliwaumba wewe hao wanyama? Nature nani aliiumba? Who made nature? Did something just appear? And why kila kitu kinakufa ambacho ni organic?
  6. MaweSaba

    JamiiForums Tanzania Biblia ni kitabu kinachoongoza kuwa na migongano mingi na pia ni illogical

    KWa nini usifanye ubaya wote unaojua wewe, kaue, kadanganye, kaibe, kadhulumu... nini kinakuzuia?
  7. MaweSaba

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kupitia jicho langu siku ya October 29, 2025

    watu zaidi ya million 20 ni mashahidi, kila mmoja aliona chake
  8. MaweSaba

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kupitia jicho langu siku ya October 29, 2025

    Majira ya saa tisa alasiri, moshi ulionekana kweli viunga mbali mbali ndani ya jiji la Dar Es Salaam. Wakati polisi wanaanza kufyatua Risasi... watu wengi hawakuwahi fikiria serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania ingewahi agiza polisi wamimine risasi hovyo kwa raia waliokua barabarani...
  9. MaweSaba

    JamiiForums Tanzania Biblia ni kitabu kinachoongoza kuwa na migongano mingi na pia ni illogical

    There is no religious God, there is only 1 God, huyo huyo unaehangaika kumkwepa ndio Mungu wa kweli, soma Biblia na umuombe ajifunue kwako. Usihangaike kupambana na dini, utachoka. Mwisho, acha dhambi ndugu yangu, wengine wanamkwepa Mungu kutokana na dhamira kuwasumbua juu ya dhambi
  10. MaweSaba

    JamiiForums Tanzania Sheikh Mwaipopo: Watanzania Muombeni Mungu Tundu Lissu anyongwe

    Lissu amehukumiwa?
  11. MaweSaba

    JamiiForums Tanzania Sheikh Mwaipopo: Watanzania Muombeni Mungu Tundu Lissu anyongwe

    Ameshahukumiwa utamke maneno hayo? Muogope Mungu... sheria ngap umewahi vunja? Ulikatwa mkono? Sheria inataka kila mtu apewe utu wake na uwe tried kabla ya hukumu Wewe ni nani?
  12. MaweSaba

    JamiiForums Tanzania Biblia ni kitabu kinachoongoza kuwa na migongano mingi na pia ni illogical

    😅😅 the fact that ypu brough issue ya Aliens ni wazi unakwepa ukweli... denial of facts What makes your heart beat? Who placed electrical signals in your brain to function? Nani alimfanya mwanadamu aishi majini akiwa tumboni lakini ashindwe akisha zaliwa? Zunguka kote ila Mungu si simu yako...
  13. MaweSaba

    JamiiForums Tanzania Biblia ni kitabu kinachoongoza kuwa na migongano mingi na pia ni illogical

    MAgonjwa yanatoka wapi kama mto yupo tumboni mwa Mama yake? Adamu akiwa Eden akikua amefunikwa na utukufu wa Mungu kama mtoto alitumboni mwa Mama Yake... kuasi kwake kulimfanya ajihisi vulnerable na uchi na ndio chanzo ya mateso yote. Kwa Mungu hakuna magonjwa wala tabu. Amini kijana
  14. MaweSaba

    JamiiForums Tanzania Biblia ni kitabu kinachoongoza kuwa na migongano mingi na pia ni illogical

    Mgongano uko wapi? Haujasoma bado Biblia na hautaki kuamini licha ya kua na kiu ya uelewa.
  15. MaweSaba

    JamiiForums Tanzania Biblia ni kitabu kinachoongoza kuwa na migongano mingi na pia ni illogical

    HAkuna sehemu yoyote kwenyw Biblia Mungu ameagiza au umeona watoto wadogo au watu wazimwa waliteswa. Kuangamiza kizazi ilikuwepo kutokana na jamii husika kuwatoa kafara watoto wadogo kwa Mungu Mollek, kuna miungu watu waliitumikia na ilikua chukizo kwa Mungu. Ila hata hivyo, kila kizazi kabla...
Back
Top Bottom