Recent content by mavota

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kimaadili ya Kihasibu: Je, CAG alikuwa sahihi?

    Unataka kusema ulielewa kazi ya uhasibu kumzidi mwalimu wako? Au njaa inauma unasaka tonge? Sent using Jamii Forums mobile app
  2. M

    JamiiForums Tanzania Nini tatizo la RC Mrisho Gambo na wasaidizi wake?

    Gambo ni kiongozi na sio mtawala jamaa namkubali sana sana, amejaliwa hekima na busara Sent using Jamii Forums mobile app
  3. M

    JamiiForums Tanzania Ufisadi serikalini waota mizizi chini ya Rais Magufuli

    Punguza bangi, report ya CAG ni ya kitaaluma, anachokiandika anaambatanisha na ushahidi, usilete mihemko kwenye mambo ya kisomi. Rudi darasani... Sent using Jamii Forums mobile app
  4. M

    JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo kodi zenu zinavyotumika: William Malecela anatalii na gari ya DC Muro

    Ana wivu, wew inakuuma nin...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Marekani yawatahadharisha raia wake wanaotaka kuitembelea Tanzania dhidi ya Ugaidi na uhalifu

    Hao wanahaingaika kutuchonganisha,nawahakikishia hawataweza. Asiyejua umuhimu wa amani asiende mbali angakieni hapo DR Congo. Tanzania tunapenda amani kuliko kitu chochote
  6. M

    JamiiForums Tanzania Patrick Mfugale awa Mkurugenzi mpya TANROADS

    Huo ndio urafiki Wa kweli ,ukipata unamkumbuka mliyepiga naye msoto
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mheshimiwa rais Magufuli unazipataga wapi zile fedha unazogawa kama pipi?

    Mleta post unasumbuliwa na wivu na njaa ,tafuta chakula ule acha roho mbaya
  8. M

    JamiiForums Tanzania Tetesi: EU waanza kujitoa rasmi? KfW wajitoa kusaidia huduma za mama na mtoto

    Waondoke tukaze mkanda, vya bure vinaua wanaboa sana na misaada yao
  9. M

    JamiiForums Tanzania Je, Mrisho Gambo amekuwa wa kwanza "kuokoka" miongoni mwa wateule wale!?

    Kijana ana hekima na busara wala hana majivuno, pia anajua kuongoza
  10. M

    JamiiForums Tanzania Je, Mrisho Gambo amekuwa wa kwanza "kuokoka" miongoni mwa wateule wale!?

    Mrisho Gambo ni kiongozi mzuri, hata hotuba zake zinavutia sio mtu wa majigambo
  11. M

    JamiiForums Tanzania US/EU Walimtoa Saadam, Ghadafi na Mugabe? Je, wanapanga kumtoa Rais Magufuli madarakani? Watanzania wazalendo tutakubali?

    Sio kirahisi hivyo kuwa unaweza kuwa isolate hao jamaa halafu ukapiga hatua.... Eti unasema watunyime tu.... Not easy... Ni nani aliyewahi kuwatunishia misuli hao jamaa akatoboa?... Tucheze game hii kwa akili tutaumia wala haichukui muda..
  12. M

    JamiiForums Tanzania Inakuwaje CCM ndiyo wanauchoka uenyekiti wa Mbowe?

    Ila Mbowe nafasi yako ungetafuta mrithi, kila chaguzi ni wew tu. Wengine hawapo?
  13. M

    JamiiForums Tanzania Julius Mtatiro uko wapi?

    Katika watu ambao sikuwahi kudhani ni wachumia tumbo ni Mtatiro, nilijua heshima aliyopewa CUF ni kubwa na labda yeye ndiye angekuwa mrithi wa akina Lipumba na maalim Seif huko badae. Zitto peke yake ndio namuona atafia upinzani wengine siwaamini sana,.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Hebu ' nishawishini ' na Mimi niamini kwamba Hayati Ghaddafi ndiyo alikuwa akiwatendea vyema Wananchi wake

    Walishamuua, pambana na hali yako haikusadii tena.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Utafiti: Tanzania ni moja ya mataifa yenye watu wavivu sana Afrika

    Si kweli, waseme wametumia vigezo gani
Back
Top Bottom