Hebu ' nishawishini ' na Mimi niamini kwamba Hayati Ghaddafi ndiyo alikuwa akiwatendea vyema Wananchi wake

Huu ni ujinga wako binafsi, hii ni topic nyingine ijitegemee.

Kwa kifupi msichana bikra unaweza kumtrain na ukaiformat akili yake, hawa ndio best Assasain in the world. Hili ni somo refu
acha kuongea upumbavu wewe...!

unaleta ujinga wa kwenye riway ahapa, au unafikri kila mtu ni fala kama wewe//

kwani Ghadaffi kuwatafuna hao mabikiri tatizo lipo wapi, mbona unateseka
 
Yaani kila ukipita utasikia Watanzania wanamsifia sana na kumpamba mno aliyekuwa Rais wa Libya Ghaddafi na ukizisikia sababu zao wanazokupa za Kumsifia kote huko hazina Kichwa wala miguu sana sana ni za Kidhaifu mno.

Naombeni leo nami mnishawishi niamini kuwa Ghaddafi alikuwa ni bonge la Rais hapa Barani Afrika.

Nawasilisha.
Linganisha miasha wanayoishi walibya Sasa hivi na kile kupindi alichokuwepo gadafi, utangundua tu kua alikua mzur au mmbaya.
 
Sasa walichokipata si washakipata. Sas wako huru wa kuuwana, kukosa maji, kukosa amani, kukosa chakula etc.
Bila kujuwa historia ya Libya na hasa watu wa Beghaz hata uambiwe sifa gani za Ghadaff hutoelewa lolote utaendelea kuwa confused tu.

Nitaleta thread kiini hasa tatizo la Ghadaff ni nini wengi hawajahi kulisema hili la ukabila hawa kabila bedui kwenda kutawala wenyeji wa Benghaz na kupiga marufuku watu kuongea lugha zao waongee lugha moja tu ya mabedui.

Hata angekuwa na mema gani Ghaddaf alikuwa ni mkoloni hapo Libya yeye kabila lake ingawa Wabongo wengi hawajui kama Waarabu wana makabila na koo.

Historia ya Ghadaff zina ufanano na Saddam Hussein na Watikrit wake na waislamu wa Sunni wenzanke huku washia na Wakurd wakikandamizwa.

Tanzania mbaya wetu ni ccm tu siyo makabila. Ikifa ccm na nchi imekombolewa.
 
Umeandika gazeti refu kenye fact nyingi lakini kuwaita watu wa Benghaz ni vibaraka post yako nzima imepoteza maana na ni irellevant inapoteza credibility yote ya kusomwa na watu wenye akili.

Huwezi kuwaita red indians ni vibaraka nchini Marekani wakihisi kutokuthaminiwa kubaguliwa na kuteswa kutokana na kabila lao wakati wao ndio wenye nchi kiasili na kihistoria.

Unaowaita wewe vibaraka ndio wenye Taifa lao la Libya na siyo huyo Ghaddaf na mabedui wenzake.

Hilo tatizo lipo hata Tanzania kuna immigrants wamejivika Utanzania na kutunyanyasa ndani ya Taifa letu mama Tanzania, ole wao historia huwa haidanganyi ni swala la muda tu.
Duniani Mungu hakusema mtu flani kwa ajili ya eneo flani. Wote sisi ni immigrants. Nionyeshe wapi Mungu alisema Tanzania ni kwaajili ya kabila flani
 
Tatizo liko wapi mkuu. Uhuru si wameshapata. Waache waseme nao sas huo uhuru, au waache waenjoy matunda ya uhuru wao
Hapo ndipo utakapogunduwa ushamba wa baadhi ya waislamu wa Tanzania, kujengewa misikiti kwao ndio jambo la maana huku hawajui mateso anayowafanyia waislamu wenzao Walibya halisi wa Benghaz ambao siyo kabila la mabedui.
 
Yule ashamaliza yake
Na Dunia imemjua,imma kwa wema wake au ubaya wake

Kazi inabaki kwako ww uliehai

Unaifanyia nini Dunia yako na Nchi yako kwa ujumla?!

Si kuponda tu ya wale waliokufa
ilihali bado ww unaendelea kuharibu kila kukicha
Kuwa mwangalifu na maisha yako
Tuanze na wewe kwanza umefanya kitu gani katika dunia?
 
Yule ashamaliza yake
Na Dunia imemjua,imma kwa wema wake au ubaya wake

Kazi inabaki kwako ww uliehai

Unaifanyia nini Dunia yako na Nchi yako kwa ujumla?!

Si kuponda tu ya wale waliokufa
ilihali bado ww unaendelea kuharibu kila kukicha
Kuwa mwangalifu na maisha yako
Jibu mjarabu kwa wasioamini
 
Duniani Mungu hakusema mtu flani kwa ajili ya eneo flani. Wote sisi ni immigrants. Nionyeshe wapi Mungu alisema Tanzania ni kwaajili ya kabila flani
Kama akili zako ni za kiwango hiki ni bora nikuignore tu.

Unaelewa kinachowapiganisha Israel na Palestine?
 
na wote wakiritire hawana bikira

Mwanamke anamuheshimu mtu aliyemkaza kuliko wengine wowote, so Gadafi ilikuwa ndio trick yake hio ili waende sawa..

Hata wewe kama uwezo tafuta mabikira wakulinde
 
We jamaa ni bonge la ndezi,yani unataka kila mmoja atoe maoni yanayokufurahisha wewe tu.Bas usingeleta hapa hilo bandiko lako.Unajifanyaga kama mtu mwenye akili nyingi sana hapa duniani kushinda wengine wote.Jitathmini.Sijaona sababu ya kusema "FOOLISH".PATHETIC FOOL

Like your Mum.
 
Ungezileta basi hizo sababu zao ambazo wewe unaona hazina miguu then kama unawapinga ukaleta pia hoja zako za kupinga ili tujadili kwa usawa, otherwise uzi wako huu utakuwa hauna mashiko..
Yaani kila ukipita utasikia Watanzania wanamsifia sana na kumpamba mno aliyekuwa Rais wa Libya Ghaddafi na ukizisikia sababu zao wanazokupa za Kumsifia kote huko hazina Kichwa wala miguu sana sana ni za Kidhaifu mno.

Naombeni leo nami mnishawishi niamini kuwa Ghaddafi alikuwa ni bonge la Rais hapa Barani Afrika.

Nawasilisha.
 
Ghadafi alikua mtu wa hovyo tu, yaani kisa umenilipia mahari, umenipa nyumba na umeniwekea pesa kwenye account bila ya kuvifanyia kazi basi niendelee na maisha tu. Yaani kama nataka kuwa mfanyabiashara mkubwa au mwanasiasa nifute hizo ndoto sababu tu naoa, nakula na kulala kwenye nyumba nzuri!!
Kwa mbongo huyo ndiyo kiongozi
Wewe unataka maisha gani labdaa????Atasikia unatala demokrasia ulivyokuwa bogus...
 
Upuuzi wake ulikua ni mambo yake ili upate misaada mpk uslimu,huo ni ujinga.
 
Ghadafi alikua mtu wa hovyo tu, yaani kisa umenilipia mahari, umenipa nyumba na umeniwekea pesa kwenye account bila ya kuvifanyia kazi basi niendelee na maisha tu. Yaani kama nataka kuwa mfanyabiashara mkubwa au mwanasiasa nifute hizo ndoto sababu tu naoa, nakula na kulala kwenye nyumba nzuri!!
Kwa mbongo huyo ndiyo kiongozi
ndoto zako za kuwa mwanasiasa mkubwa Tz zimefika wapi mkuu?
 
Back
Top Bottom