Recent content by Mavipunda

  1. Mavipunda

    JamiiForums Tanzania Kati ya Paulo na Yesu nani alianzisha ukristo?

    Paulo alikuwa ni muyahudi ambae alipandikizwa makusudi aharibu mafundisho ya Yesu, mafundisho ambayo Wayahudi walishayakataa na hadi wakamsulubu Yesu. Mambo ya Makanisa, Utatu na Ukristo hayapo kwenye Biblia bali yalichomekewa na kina Paulo ili kupoteza uhalisia wa mafundisho ya Yesu ambayo...
  2. Mavipunda

    JamiiForums Tanzania Kajala; Madaktari wameniambia nakaribia kupalalaizi mishipa haifanyi kazi

    Hizi nazo ni kutafuta kiki tu, hana changamoto yoyote
  3. Mavipunda

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa Lema Na Waandishi wa Habari umezuiwa , Nani Kauzuia?

    Kama ni hivyo chama kichukue hatua kwa Shoga Sativa na dada poa Mange
  4. Mavipunda

    JamiiForums Tanzania KERO Tegeta wafanyabiashara watakiwa kutoka kwenye Maeneo yao ya biashara haraka iwezekanavyo, walalamika kuwa walishaandaa vyakula

    Watu wengi humu wana elimu ndogo na akili kisoda, hawana akili ya kuhoji mambo kama haya. Wao ni kelele na lawama tu
  5. Mavipunda

    JamiiForums Tanzania Kutoka Mahakamani - 15 Septemba, 2026: John Heche aendelea kutoa ushahidi

    Sema Baba yetu..kwani hujui baba yangu ndio kampa mimba mama yako
  6. Mavipunda

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wakija kukubali huu upumbavu ndo utakuwa mwisho wao

    Serikali imetaka maridhiano na nani? wao kupitia TEC si ndio wameomba? As long as watumishi wanakula mishahara, posho na marupurupu ya safari za ndani na nje kupitia kodi za biashara basi nchi ipo imara. Nyie subirini mashoga wenzenu wa EU na ICC. Ila nao wapo busy na Iran na Putin anawatoa jasho
  7. Mavipunda

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wakija kukubali huu upumbavu ndo utakuwa mwisho wao

    Himizeni vijana waingie kwenye kilimo kinalipa..si unaona heche ana magari matano kwa kilimo
  8. Mavipunda

    JamiiForums Tanzania Kutoka Mahakamani - 15 Septemba, 2026: John Heche aendelea kutoa ushahidi

    Huyu mfoji vyeti heche anaingia kirahisi kwenye mitego ya mawakili wa serikali
  9. Mavipunda

    JamiiForums Tanzania Kutoka Mahakamani - 15 Septemba, 2026: John Heche aendelea kutoa ushahidi

    eti kesi aliyopewa.. ngoja tuone huyu Richard Heche anatoa boko gani...
  10. Mavipunda

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wakija kukubali huu upumbavu ndo utakuwa mwisho wao

    Watu wamechanganyikiwa kweli, Serikali haramu inatambulika hadi UN. Hivi ile fix ya ICC iliishia wapi? Yale maazimio ya EU yaliishia wapi? Lissu ananyongwa kwa uhaini mapema asbh na hakuna nchi itaingilia. Watu duniani wana misala yao huku nyinyi nyipeni umuhimu tu
  11. Mavipunda

    JamiiForums Tanzania Leo tarehe 14 September, Shahidi John Heche ameshafika tayari mahakamani

    Hizo ndoto mzee
  12. Mavipunda

    JamiiForums Tanzania Mchome: Risiti zinaonyesha Heche kupokea milioni 20 bila kupitia chama

    Nitafikiwa ila si kwa ujinga wa kufuata akili za mtu. Hao uliowataja unajuaje kama sio michadema mijinga
  13. Mavipunda

    JamiiForums Tanzania Nadhani Tundu Lissu anaweza kuwa peke yake, Tuombe Mungu aingilie kati

    Nimewapima sana.. Mtu yupo ulaya anakwambia kaandamane jeshi watakulinda nawe unatoka kweli huo sio wehu sasa
Back
Top Bottom