Shida jamaa ana vigezo kama vya Oxford Scholarship! With his personality he needs to find a less strict funny girl. Ili akutoe kwenye ‘boring’ life that you’ve. But umesema pia hupendi kelele sa sijui itakuwaje. Muone Psychologist akusaidie.
Ni binti mrembo anampenda MUNGU na mwenye akili ila amezaa na Mume wa mtu ambaye mwanzoni wakati penzi limepamba moto Mwanaume alimuambia Mdada aache kazi atamuhudumia na mtoto ila penzi life kwakuwa hakuwa tayari kuzaa nae.
Muda umeenda Mdada kweli alikubali kuacha kazi. Mwanaume anamtimizia...
6. Mez B
7. DJ Steve B
8. Sam wa Ukweli
9. Nisher Bybeee
Kiukweli Bongo watu wengi wameungua na hawa wasanii wanareflect jamii zetu zilivyo! Watu maarufu wengi Bongo Dawa zinawasaidia. Na hivi wanavyopenda kubadilisha wapenzi kama sifa. Watapukutika kama kuku wakiendekeza mauzinzi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.