Recent content by Mavere Tukai

  1. Mavere Tukai

    Zitto na Kitila wavuliwa vyeo vyote ndani ya CHADEMA

    :baby:.................
  2. Mavere Tukai

    Mwanamke wa kirangi

    interesting....
  3. Mavere Tukai

    Dunia tunapita

    it is true ila sioni ubaya wa kuishi nyumba nzuri... make yourself useful, do good to the world, prepare well for the life after death. Ningependa kuishi kwenye nyumba nzuri, lakini pia nitende mema... kiimani zaidi tunachofukia ni udongo tu, kwahiyo hata ukinitupa porini... haidhuru kwangu...
  4. Mavere Tukai

    Mchungaji Msigwa (CHADEMA) amtaka Kinana awahi kortini

    Mheshimiwa sana, mbona unajiharibia?? sasa kutakua na tofauti gani kati ya wewe na msigwa wakati na wewe umekwenda JF kujibu ndio una tofauti na mtu aliyejibu gulioni?? VIjana mna kujumu la kusimama kwenye hoja na haki na kuacha ushabiki, hasa mkiwa wasomi mliosomeshwa na pesa kiduchu za wadhamini
  5. Mavere Tukai

    TANZIA: Dr. Ferdinand Masau wa Tanzania Heart Institue afariki dunia

    Sidhani kama anayetoa roho za watu ni Tanzania... Yes hatukumtumia vizuri kama mtallam wa afya ila kusema shame on you Tanzania ni way below the belt, si kila mtanzania hakumtakia mema Dr. Masau, tupo baadhi tuliom-support sna but were too small to make any impact Apumzike sasa kwa amani kwani...
Back
Top Bottom