Niko wilayani same mkoani kilimanjaro maene ya Gonja Mtii TANESCO leo siku ya 4 umeme unasumbua hatuelewi ni umeme mdogo au nn maana umeme unakatika kila baada ya sekunde 10 na unarudi huku baadhi ya bulb zinawaka na zingine haziwaki na wakati huo taa zinatetemela tu jana mmekata kutwa tukajua...
Hii nimetoa taarifa tu maana ni mtaani kwetu wametelekeza hizi nyaya hapa na nyumba yenyewe ilishavunjwa wamebakiza hako kaukuta tu na nimuda mrefu sasa.
Na hilo la kurudishwa tarifu 0 maana umeme tunanunua bei juu na hapa ni kijijini naomba ufumbuzi wa hili maana nilimsikia hata waziri akisema umeme usiuzwe zaidi ya sh. 100 kwa 1 unit
Dah mbona haya makato yamezidi leo nimenunua umeme wa 10000 matokeo yake nimepata unit 22 tu na mwanzo ilikuwa 28 unit,
Na Tanesco naomba ufafanuzi jinsi gani nitarudishwa kwenye Tarifu 0 maana hii imekuwa too much nahapa ni kijijini mnatuuzia umeme zaidi ya sh. 300 kwa unit
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.