FUMBO (01)
PUA za Leila ziliipokea harufu ya manukato iliyopozwa na kiyoyozi, mara baada ya kufungua mlango na kuingia ofisini. Chini, sakafu ilifichwa na zulia la sufi. Juu, taa zenye rangi anuwai zililizunguka dari mithili ya nyota zipendezavyo anga. Nusu ya kila dirisha ilifunikwa kwa...