Recent content by Maulid jnr

  1. M

    JamiiForums Tanzania Pikipiki ya kuchaji inauzwa

    Mafundi wapo na spare zipo kibao kariakoo
  2. M

    JamiiForums Tanzania Pikipiki ya kuchaji inauzwa

    Habari ndugu, nauza pikipiki ya kuchaji aina ya linkall . Bado iko imara bei 550k (maingezi yapo) nicheki kwa 0783150130 chapu uchukue mali
  3. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je kuna athari yoyote kutumia haya mafuta wakati wa kusugua Papuchi?

    Nionjeshe mm toto la uswazi
  4. M

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Nauza kiwanja changu kipo Mbezi Kibanda cha Mkaa

    nicheki kwenye simu au nipe namba yako PM
  5. M

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Nauza kiwanja changu kipo Mbezi Kibanda cha Mkaa

    habari zenu wakuu bei nimepunguza nipe milioni 13 nikuachie kiwanja changamkeni jamani ukichelewa tusilaumiane
  6. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    naomba namba PM nikawakilishe mkuu
  7. M

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Nauza kiwanja changu kipo Mbezi Kibanda cha Mkaa

    ndo hapo hapo mkuu
  8. M

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Nauza kiwanja changu kipo Mbezi Kibanda cha Mkaa

    nashkuru kaka mkubwa
  9. M

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Nauza kiwanja changu kipo Mbezi Kibanda cha Mkaa

    km kama 3 unaweza kuona hapo kwenye ramani umbali kutoka morogoro road hadi site
  10. M

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Nauza kiwanja changu kipo Mbezi Kibanda cha Mkaa

    nauza kwa dharura mkuu vinginevyo nisingeuza kabisa kwa jinsi palivyokua pazuri
  11. M

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Nauza kiwanja changu kipo Mbezi Kibanda cha Mkaa

    sio mbali kipo karibu mnoo mwendo wa dakika tano kutoka morogoro road
  12. M

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Nauza kiwanja changu kipo Mbezi Kibanda cha Mkaa

    umbali ni kama 2km kutoka kituo cha kibanda kwa mkaa . nauli ya bajaj ni buku tu hadi site boda boda 2000
  13. M

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Nauza kiwanja changu kipo Mbezi Kibanda cha Mkaa

    habari wana jf . nauza kiwanja changu kinachopatikana mbezi mji mpya karibu na stendi ya magufuli terminal. kiwanja kina ukubwa wa futi 60x50 average sio square. Bei ni 15,000,000 maongezi yapo. kipo sehemu tambarare pamejengeka pande zote umeme na maji vipo site. kiwanja kimeendelezwa tayari...
  14. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania USHAURI: Simuelewi mume wangu

    Pole dear ngoja wajuzi waje niko seat ya mbele
  15. M

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Pikipiki inauzwaa

    Habari ndugu , Boxer BM 150 inauzwaa bei yake 1.6m bado ni imara sanaa. Documents zote zipo nicheki kwa namba hiii tufanye biashara 0783150130 asante
Back
Top Bottom