Wagonjwa wa kifua kikuu (TB) hupitia mateso makubwa ambayo mara nyingi jamii haioni. Si kwamba wanapenda kuacha dawa au kuzembea matibabu yao bali mara nyingi huzuiliwa na hali halisi ya maisha. Daktari anapomwambia mgonjwa wa TB kwamba hatakiwi kufanya kazi kwa miezi sita au zaidi maana yake ni...
Mantis shrimp (sapalala) ana macho bora kuliko kiumbe chochote duniani anaweza kuona rangi ambazo hawezi hawezi hata kusema!
Maelezo mafupi:
Binadamu tuna cones 3 kwenye macho yetu (kwa kuona rangi: red,green,blue).
Mantis shrimp ana hadi cones 12 hadi 16 anauwezo wa kuona...
Yan kila unapogusa ni sahii bila Shaka story sio ya uwongo na Mimi nimekaa Lindi na nimefanya kazi kwenye machinga transport. Upo sahii kila kitu[emoji2936]
Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
Jumatatu mpaka jumamosi tunakuwa wazi siku nzima lakini jumapili tunakuwa na nusi siku ivyo tunapokea oda muda wowote na tunakuletea mpaka kwako kwa gharama nafuu lakini pia wateja wa mikoani tunatuma pia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio,tuna huduma ambayo pweza atakuwa ameshakaangwa tayari kwa kula tu ili kutopoteza muda. Package hii inapatikana kwa Tsh 12,000 tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.