Recent content by MAUBIG

 1. MAUBIG

  Center Administrator & Claims Manager at Africa HealthCare Network Tanzania Limited

  Hawa wajamaa siwalewagi kila mara wanatangaza hii nafasi
 2. MAUBIG

  Update za kazi za TASAF

  Mimi niliomba connection kwa mtu fulani kigogo najuana naye akanivungia basi hata sikuomba hizo nafasi kwani nilishajua mapema sintotoka bila ya connection
 3. MAUBIG

  Natafuta kazi ya upishi, niko Dodoma

  Kama una ujuzi wa hivyo vitu ni bora ukapika ukawa watembeza mtaani hasa maeneo ya wana vyuo huko, ajira siku hizi shida brother
 4. MAUBIG

  Kwa wale introverts, anti social, na shy people maisha yako ya chuo yalikuwaje? Vipi mtaani kukoje?

  Yaaani kama wanisema vile mie hapo Sent using Jamii Forums mobile app
 5. MAUBIG

  Dodoma: Mmiliki wa Shule na Mkurugenzi Islamic Foundation akutwa ameuawa kinyama ofisini kwake

  Pia inawezekana hata Dar hakufika huwezi jua wanadamu walivyo na roho ngumu, inatia hasira acha tu Sent using Jamii Forums mobile app
 6. MAUBIG

  Dodoma: Mmiliki wa Shule na Mkurugenzi Islamic Foundation akutwa ameuawa kinyama ofisini kwake

  Kwa mujibu wa kijana wake alikuwa Dar na alipaswa kurudi Dodoma lkn baada ya hapo hakuonekana na simu hazipatikani mpka maiti ilivyokutwa ofisini Sent using Jamii Forums mobile app
 7. MAUBIG

  Dodoma: Mmiliki wa Shule na Mkurugenzi Islamic Foundation akutwa ameuawa kinyama ofisini kwake

  Hakika baadhi ya dhana ni dhambi Sent using Jamii Forums mobile app
 8. MAUBIG

  Dodoma: Mmiliki wa Shule na Mkurugenzi Islamic Foundation akutwa ameuawa kinyama ofisini kwake

  Aliyeuawa ni baba wa jirani yangu inasemekana alikuwa dar kwenye kikao ambacho alitumwa kumuwakilisha sheikh wa mkoa wa Dodoma, baadaye mawasiliano na familia yake yakapotea ndo mchakato wa kumsaka ukaanza kwa kumshirikisha RPC wa Dodoma ambaye naskia wanafahamiana. Jana jioni jirani yangu huyu...
 9. MAUBIG

  Natafuta Soko la mayai

  Bei ipoje hapo brother
 10. MAUBIG

  Mapendekezo: Serikali iongeze kodi kwenye vifurushi vya data

  Acha umbea, uchonganishi na uzandiki mtoto wa kiume na hii dalili ya mwanzo kuwa mchawi
 11. MAUBIG

  msaada wa NGO za kujitolea

  Njoo PM
 12. MAUBIG

  ORAL INTERVIEW PSRS

  Lini unainterview kijana
 13. MAUBIG

  Nimeitwa kwenye usahili wa BRELA. Je, ni masuala gani natakiwa nipitie?

  Kasome mambo ya research, mambo ya business registration and licencing, meaning of logo, copyright, trade mark, branding, na mambo kama hayo
Top Bottom