Recent content by matunge88

  1. M

    Tutorial Assistant

    Kaka safi sana, kwa hiyo GPA soon utapata.
  2. M

    Oxfam - Kazi Human Resources Manager

    Jaribu kaka. True
  3. M

    Tutorial Assistant

    Sawa mkuu kwa kunitukana lakini ukumbuke mambo mengine tunajaribu na mwisho wa siku unafanikiwa. Usipende kutuma comment za kutukana hazijengi. Hata ningeiweka hii strategy ambayo nilianza nayo wengine kama wewe ungenitukana. Maana wengine hawapendi kuwa walimu ingawa wana GPA kuanzia 3.8 n.k
  4. M

    Tutorial Assistant

    Asante mkuu Ricardo kaka. Naelekea Moshi kuanza kazi, nawashukuru wadau, hili jukwaa linasaidia sana. Kikubwa ni kuaamini. Vijana wote ambao mna GPA 3.8 pelekeni vyeti vyenu kwenye mavyuo mtapata kazi kama mimi nilivyovyafanya. Nilituma kila chuo barua na vyeti. Usisubiri watangaze
  5. M

    Tutorial Assistant

    Asante kaka. Nashukuru...angalau inatosha kuanza maisha. Namshukuru mungu kwa kweli
  6. M

    Weighbridge Operator (8 Posts) TANGA

    Weighbridge Operator (8 Posts) Apply before: 30 Mar 2014 Company: Tanzania National Roads Agency (TANROADS) Location > Tanga Position Type > Full Time Organization Type > Parastatal...
  7. M

    Oxfam - Kazi Human Resources Manager

    Human Resources Manager Location: Dar es Salaam, Tanzania Level: National C2 Gross salary: Tshs 3,848,978.4 and other benefits Contract Type: Open ended Job reference Number: INT319 Who we are Oxfam is an International NGO working with others to find lasting solutions to...
  8. M

    Ushauri kwa CCM

    Ndg wana JF, OMBI LANGU KWA CCM BORA WAKUBALI TU SERIKALI TATU(3) then wafanye yafuatayo (1) WAZIRI MKUU TANGANYIKA na WAZIRI MKUU ZANZIBAR(WOTE WAREPORT KWA RAIS WA TANZANIA) (2) RAIS TANZANIA(MUUNGANO) (3) MAMBO MENGINE YATABAKI KAMA YALIVYO NA CCM ITASONGA MBELE WANA CCM MSIHOFU CCM HAIWEZI...
  9. M

    Tutorial Assistant

    Wadau tutorial assistant katika chuo cha serikali anaanza na sh?? Kama gross?
  10. M

    Vacancy: Tanzania US Embassy

    EMPLOYMENT OPPORTUNITY – Computer Management Specialist Closing Date of The Position: March 6, 2014 ALL ORDINARILY RESIDENT (OR) APPLICANTS MUST HAVE THE REQUIRED WORK AND/OR RESIDENCY PERMITS TO BE ELIGIBLE FOR CONSIDERATION. The US Embassy is seeking an individual for the...
  11. M

    Ukipitia hii link utapata matangazo ya kazi kwa urahisi bila shida

    KaziBongo - Jobs in Tanzania au TAYOA Employment Portal
  12. M

    Wanaoulizia mishahara

    Wanaoulizia mishahara naamini ni wale walioko makazi so wanataka kulinganisha kabla hajatuma. Mtazamo wangu ni huo lakini sisi tuliomaliza mwaka huu unauliza mshahara hata kazi hujapata, pata kazi ukijadiliana mshahara ukiona haukutoshi piga chini.
  13. M

    Employment Referee’s Form UDOM Zinatumwa Pamoja na Application Letter?

    We mpe referee akujazie then aiweke kwenye bahasha ya A7 then iweke ndani ya A4 then tuma. Lakini usiifungua lakini nao UDOM walitakuwa hii kitu mtu akipata kazi ndo huwa inajazwa
  14. M

    Afisa TRA - mtoto wa miaka 2 kumiliki ghorofa

    Kutoka kwenye kipindi cha clouds fm live - PB na Gerald Hando. MWENYEKITI WA WAFANYA BIASHARA AWACHANA MAAFISA WA TRA. Anasema anaushahidi mtoto wa afisa wa TRA miaka 2 anamiliki ghorofa. Je Kama ni kweli hao maafisa wanapata hela zao kihalali, na amesema anaushahidi mfanyabiashara mmoja hulipa...
Back
Top Bottom