Recent content by matumbo

  1. matumbo

    Naomba kueleweshwa: Wapinzani wanapambana na Hayati Magufuli au Rais Samia?

    Hakuna anaepambania mifumo hao wapinzani wanapambania matumbo yao.
  2. matumbo

    Makofi mengi kwa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Bungeni yanaashiria nini?

    Majaliwa ana sifa zote ulizotaja.
  3. matumbo

    Naomba kueleweshwa: Wapinzani wanapambana na Hayati Magufuli au Rais Samia?

    Wamepambania mfumo gani mpaka sasa? so far naona mifumo ni ile ile haujaguswa hata mmoja kuanza tume.
  4. matumbo

    Naomba kueleweshwa: Wapinzani wanapambana na Hayati Magufuli au Rais Samia?

    Wanapambana na Magufuli ili ku achieve kitu gani?
  5. matumbo

    Naomba kueleweshwa: Wapinzani wanapambana na Hayati Magufuli au Rais Samia?

    Tuna upinzani wa hovyo sana nchi hii.
  6. matumbo

    Makofi mengi kwa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Bungeni yanaashiria nini?

    Mtaani Majaliwa anakubalika kuliko kiongozi yoyote kwa sasa.
  7. matumbo

    Makofi mengi kwa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Bungeni yanaashiria nini?

    Majaliwa ni jembe. Kuna katuni moja nakumbuka ya Kipanya anasema tunataka rais ambaye atakuwa na haiba katikati ya Magufuli na Kikwete. Nadhani rais huyo ni Majaliwa. Jamaa ni nusu uMagufuli nusu uJk.
  8. matumbo

    Naomba kueleweshwa: Wapinzani wanapambana na Hayati Magufuli au Rais Samia?

    Hapana, Samia amewazidi akili anaicheza game ya upinzani na ya Magufuli kwa wakati mmoja. Makundi yote yapo dilemma ila lenye kushinda litakuwa la Magufuli sababu wote awa na Samia ni ccm na kuna maeneo watapishana ila ikifikia lengo la kubaki madarakani lao ni moja na tofauti uwa zinawekwa kando.
  9. matumbo

    Naomba kueleweshwa: Wapinzani wanapambana na Hayati Magufuli au Rais Samia?

    Walipofikia hawaelewi hata wanapambana na nani Magufuli bado hajawatoka akilini na mama Samia inabidi waende nae sababu anarekebisha makosa ya Magufuli kwao ndio imekuwa burudani yao.
  10. matumbo

    Naomba kueleweshwa: Wapinzani wanapambana na Hayati Magufuli au Rais Samia?

    Wameweka nguvu kubwa kwa Magufuli mpka wamesahau nini wanachotaka. Na uzuri mama Samia ameshausoma mchezo amefanikiwa kulishawishi kundi la Magufuli na wapinzani pia amewaweza tayari, siasa za Samia na upinzani zitakuwa nyepesi sana akiendelea hivi hivi kuwa controversial.
  11. matumbo

    Naomba kueleweshwa: Wapinzani wanapambana na Hayati Magufuli au Rais Samia?

    Nafikiri tupo kwenye era ngumu sana kwa siasa za upinzani. Mpaka sasa wamechanganyikiwa hawajui wanapigania kitu gani.
  12. matumbo

    Naomba kueleweshwa: Wapinzani wanapambana na Hayati Magufuli au Rais Samia?

    Kila nikitazama mijadala kwenye mitandao ni kama wapinzani bado wapo kwenye mapambano na hayati Magufuli. Rais na mwenyekiti wa sasa wa CCM mama Samia ni kama hawana tatizo naye, anawakosha sana na wanamtumia kuwaumiza wafuasi wa Magufuli. Kwa wataalam wa siasa hii ina maana gani kwa siasa za...
  13. matumbo

    Kuhusu Maridhiano ya Kisiasa Kitaifa na Wabunge 19 waliokuwa wanaCHADEMA

    Wale wataendelea kuwa wabunge wa chadema. Akishaamua Mbowe nyinyi wachimba chumvi hamna ujanja zaidi ya kufata anachotaka mbowe.
  14. matumbo

    Hotuba ya Rais Samia Bungeni: Kuboresha Kilimo na Uvuvi, Kukutana na Wanasiasa, Awaonya wanaopotosha Mitandaoni, ATCL kulindwa, Wanawake kuzingatiwa

    Mama uwezo mdogo sana, maneno mengi mpaka sasa hatujaona lolote jipya. Ataloweza labda ilo kurudisha siasa za upinzani.
  15. matumbo

    Rais Samia kuwa makini! Kuna genge linakuandama ili uharibu

    Hakuna wa kumkwamisha SASHA atakwamishwa na uwezo wake mdogo kuongoza nchi. Kuongoza nchi sio rahisi kama kuunga unga elimu. Magufuli alikuwa very strong haikuwa easy kuyumbishwa na fala yoyote alikuwa na misimamo na uthubutu.
Back
Top Bottom