Recent content by matumbako

  1. M

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli TRA wanakusanya zaidi ya trilion 1 kwa mwezi? nina wasiwasi

    hii mada inapaswa ijadiliwe bila kuwa na hisia za mapenzi kwa serikali ama upinzani hapo tunaweza kupata hoja za maana
  2. M

    JamiiForums Tanzania Prof. Lipumba: Uhaba wa sukari umesababishwa na Rais Magufuli

    Kama shida ya sukari kutoa nje ni kuisha muda Mkuu angewawajibisha TBS ambao Kazi yao ni kuangalia ubora wa badhaa zinazoingia nchini na siyo kuzuia sukari, na kama lengo ni kulinda viwanda vya ndani kulikuwa kuna haja ya kufanya utafuti juu ya kiasi cha sukari kilichopo nchini kisha atoe...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya Songas imetishia kusitisha uzalishaji wa umeme kutokana na mgogoro baina yake na TANESCO

    Hela za sherehe za 88 zitatumika kupunguza deni, Songs washeni mitambo watu wasikae gizani bwana.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Jen. Ulimwengu: Ni vyema Rais Magufuli asishiriki utawala wa mikusanyiko ya halaiki

    Jen. Ulimwengu umenena ukweli.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Badala kuilaumu serikali, tuilaumu bodi ya sukari

    Kila baada ya uchaguzi mkuu hutokea vitu vinavyofanana na hii ya sukari, kwanini? Hawa jamaa wanaouza sasa hivi kwa bei hii kubwa huenda ndiyo walengwa wa hiyo faida wanayopata sasa hivi kama malipo fulani baada ya kukopesha kiaina before? Nawaza tu.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Swali la utafiti: Wafanyabiashara Ulaya na Marekani huachwa wafanye watakalo?

    Swali lako lina maana nzuri, naamini una lengo la kutaka kujua huko wenzetu wanaishije. Ipo tofauti kubwa sana sheria na utekelezaji wa sheria za nchi kwetu na huko kwa wenzetu. Kwa tatizo la sukari na mengine yaliyopo hapa kwetu mtatuzi Mkuu ni Mkuu wa nchi. Bwana mkubwa kwa sasa anaamua yeye...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, Tanzania sio Dar pekee!

    Hata mimi ninashangaa kuona mheshimia anaangalia hospitali moja tu, kwani kama angekuwa amechagua kuanza na afya basi angekomaa na katibu mkuu wa wizara ya afya kusimamia hospitali na zahanati zote nchini.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Jaji Werema adaiwa kumtishia kifo Kafulila bungeni Dodoma

    tusubiri tuone itakuwaje
Back
Top Bottom