Kwanza nashukuru siku ya kesho watu wetu wa mkoa wa Mtwara kukataa kushiriki haya maandamano ,sababu haya maandamano siyo maandamano halili ni maandamano haramu so kesho ni siku ya kuliombea taifa amani siyo siku ya umwagaji damu wala maandamano
Ubaya, maovu, utekaji na mauaji ambayo yanatokea jeshi la polisi linatajwa kuhusika.
Tumeshuhudia baadhi ya nchi kuna makundi ya kiharifu ambayo yametoka ndani ya vyombo vya ulinzi na usalama.
Na makundi hayo yalianza kufanya matukio kama utani leo yamegeuka kuwa makundi ya uharifu na...
Pole Abdul Nondo nakumbuka niliwahi kuleta uzi kuwa ACT-WAZALENDO hampo salama, nilizungumza kipindi chadema wameratibu maandamano.
Kipindi cha maandamano nilitegemea ACT-WAZALENDO watasema mishap ziara za kichama kuonesha kuwaunga chadema mkono kupinga mauaji na utekaji badala yake wao...
Kuna kasumba moja ya wanasiasa hasa upinzani na wanaharakati wamekua wanaikosoa serikali, au mifumo mibaya ya uongozi, ubovu wa katiba ya sasa kupitia mitandao ya kijamii na makongamano ya wao kwa wao badala ya kuwashirikisha wananchi.
Mf; Unakuta linaendeshwa kongamano la katiba au demokrasia...
Tutaleta program ambazo wamefeli ACT-WAZALENDO wamefeli badala yake wamekuwa watu wa kujinufaisha viongozi wa makao makuu tu.
Mtaelewa kwanini tunasema ACT-WAZALENDO ni chama mamluki.
Kuongea ni muhimu na sisi ndyo tupo katika ivi vyama mambo yanavyoendea kwenye vyama vya upinzani siyo viongozi wa vyama waliopo makao makuu na viongozi wa mikoa na majimbo ni watu wawili tofauti
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.