Recent content by matosile

  1. M

    Baadhi ya walimu wa shule za msingi ni "Semi-literate"?

    Kila mtu atazungumza kuvutia anakokuamini lakini tuseme ile kweli walimu wanaohusika ama ni kukosa umakini au uelewa mdogo ama kupuuzia ,, wanafanya makosa sana na kuharibu majina ya watoto, madogo wanafika sekon dari mpaka wanalia wakiomba wabadilishiwe majina kitu ambacho hakiwezekani. Sisi...
  2. M

    Basi la kampuni ya Superfeo express lapata ajali, leo Oktoba 7, 2023

    Stori za vijiweni hizo jamaa kaanza kitambo toka kwenye coaster,,isuzu,yutong,,zhengtong na sasa Polo G7,,kila mtu akiwa na hela basi uwekezaji basi lazima muwazushie wanasiasa,, Sent from my TECNO KE5 using JamiiForums mobile app
  3. M

    RC Chalamila: Mimi kuchomoa mashine na kufanya vurugu ni dakika mbili tu, na hakuna yeyote wa kufanya chochote!

    Tunakaa hapa tunaanza kuomba mtu atumbumiwe hata akitumbuliwa hakuna tija yeyote ambayo tutaipata ,,tuache kupenda kubembelezana,, Watu wanaiba kisha wanatishia kurudisha kadi za chama,,yaani mimi kama nakuwa katibu wa chama wanachama wanaoliibia Taifa kwa mgongo wa chama,,,nafuta kadi zao na...
  4. M

    RC Chalamila: Mimi kuchomoa mashine na kufanya vurugu ni dakika mbili tu, na hakuna yeyote wa kufanya chochote!

    Hakuna mkamilifu,,kila mtu ana madhaifu yake so Chalamila hawezi kuwa kama alivo Kunenge ama Makala mvumilieni tu Mimi pia nina hulka hizo nadhani ningekuwa na madaraka, viongozi wazembe na wala rushwa hasa idara ya elimu ningewanyoosha na kila siku kwenye sala zao wangeomba Mungu aniondoe Hii...
  5. M

    Ushauri Wizara ya Elimu: Nyadhifa zitolewe kwa kuzingatia Kiwango cha Elimu, kipaumbele kikiwa kwenye elimu ya juu zaidi

    Ukitaka uishe kwa stress basi kasome utegemee utapata madaraka,,ni bora hiyo hela uifanyie uwekezaji mwingine,, madaraka huku chini ni rushwa na kujikombakomba,,uwe na uwezo wa kukubali kila kitu unachoelekezwa na mkubwa wako,, Cha msingi ni kutambua kuwa hatuwezi wote tukapata madaraka hivo...
  6. M

    Ushauri Wizara ya Elimu: Nyadhifa zitolewe kwa kuzingatia Kiwango cha Elimu, kipaumbele kikiwa kwenye elimu ya juu zaidi

    Inategemea na idara ila kama ni idara ya elimu hakuna kitu,,wengi huku chini wanapata madaraka wakiwa na uwezo mdogo ,,mfumo upo very corrupt mpaka chupi zinawapa watu madaraka,,, Kama mtu unajitambua lazima tu utaingia mgogoro na watawala kisa tu wanapenda kutumia nguvu nyingi kuliko maarifa...
  7. M

    Nishati ya Petroli yaadimika kila kona ya nchi

    Hapa ndipo ninapojiridhisha pasi na shaka kwamba kuna mambo yanahitaji mkono wa chuma ili yaende sawa. Nakumbuka enzi za Magufuli Moil waliuomba radhi umma wa Watanzania na kulipa faini ya tsh. millioni kumi kwa kusababisha usumbufu kuhusu ishu ya mafuta
  8. M

    Waraka wa Maaskofu Katoliki kuhusu uwekezaji Bandarini wasomwa kanisani

    Hata ikiwa imeisha tunashukuru waamini wengi hasa wa vijijini wametambua ni nani adui yao hivo kazi ya kuendelea kuwaelimisha imerahisishwa na waraka,, Sijui mtaendelea kuwahadaa au la
  9. M

    Chacha Maboto, Mbunge wa Bunda (CCM): Lugha ya kwenye Mkataba wa DP World sikuielewa, mnisamehe

    Sidhani kama na yeye anasali dhehebu la katoliki
  10. M

    Serikali isimamie Tamko la Maaskofu lisisomwe Kanisani

    Halafu mwisho wa siku unasherehekea siku ya kuzaliwa kwa kutumia kalenda iliyoasisiwa na mjinga Glegorian ambaye ni mkatoliki,,,,hahahahaaaa wakatoliki wakiwa wajinga basi Dunia nzima tu wajinga
  11. M

    Serikali isimamie Tamko la Maaskofu lisisomwe Kanisani

    Tayari ulishasomwa,,sasa hivi hatupati shida tena kuwaelimisha ndugu zetu waliopo vijijini ambao hawa access ya internet
  12. M

    Marufuku ya Msajili wa Vyama kuwa viongozi wa Dini wasishiriki kwenye siasa iko sawa

    Ujumbe umeshawafikia hasa waamini ambao hawana uelewa na nini kilichomo kwenye huu mkataba mbovu,, So hilo limeshafanikiwa
  13. M

    Kuna baadhi ya Viongozi wa Dini Wanataka kumdhoofisha na kumpa hofu Rais Samia

    Chama cha mazuzu tu,,na wanaokipa sapoti ni wajinga na watu wanafiki ambao wanahisi nje ya teuzi hakuna maisha
  14. M

    Kuna baadhi ya Viongozi wa Dini Wanataka kumdhoofisha na kumpa hofu Rais Samia

    2025 hatutaruhusu wanafunzi wasio na sifa kupiga kura,,endeleeni kushupaza shingo,,,hii mibunge ya ccm mingi lazima tuimwage,,hapo ndipo tutakapokuwa na bunge la kuisimamia serikali
  15. M

    Waraka wa Baraza la Maaskofu (TEC) kuhusu uendeshaji Bandari utasomwa kila Jumapili kwa wiki 6, utasomwa pia kwenye vigango

    Hama tu ndio uhuru wa kuabudu huo,,ila mimi ni bega kwa bega na mababa askofu,,
Back
Top Bottom