Jamani mbona mnamsakama sana Mh. Zitto? hiyo ni nia yake tu. hata hivyo si kuna mchakato wa kupata viongozi na wagombea CHADEMA? subirini muda ukifika, kama atapita, tumpe Support coz ni mwanachadema tena mwenye historia nzuri tu na chama! lakini swala la kila Zitto akifanya/kusema kitu tu...
chanzo cha Migogoro ni wewe mwenyewe na kujua kwako kwingi.. unapong'ang'ania kumtoa MEYA so what? badala ya kufind solution within chama u ar comming JF
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.