Wewe kwanza mwenye nembo hii ya MANAZI hapa Ujerumani hautufai, hata Tz hautufai- Emetoka Hamburg- nenda kajiunge na wenzako amabao wako jela kama Zschäpe n.k
Ndiyo maana yake. Dalili ya mvua ni mawingu- Hii inaonyesha jinsi gani ccm imeshindwa kuleta maendelao, demokrasia ya kweli na kwa hali hii by 2015 tutapeta. God bless Tanzania,
from Ughaibuni:)
Huyu jamaa lazima ni mfisadi wa ccm au ni mtoto wa mafisadi. Unawatetea wala nchi? hao ndiyo inayoifanya Tanzania kuwa moja za nchi maskini duniani. Chadema wanataka kulinda haki zao ni si vinginevyo- Kama ccm ina kundi lake la kujilinda, kwanini cdm isiwe na kundi lake?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.