😁😁😁😁 hii mbn rahis sana kweny maikrotik kuna kitu kinaitwa TTL uki configure vzr unazuia watu wasitengeneze hotspot pia ukiwa na billing system kama centiped na zinginez unazuia watu wasitengeneze hotspot kirahis tu au namna nyingine limit mbps bas kaz kwisha utae mhotspot haha hata kutuma sms...
WIFI BUSINESS VIA VOUCHER CODE {MICROTIK AND OAMADA SYSTEM NA ZINGINEZO}
hapa tutatumia microtik na omada system at the same time na maana kwamba kuna features kwenye omada hazipo ambazo ni very dangerous sana so ndo maana microtik inatumika lkn pia omada ni simple kwenye kutumia kuliko...
WIFI BUSINESS VIA VOUCHER CODE {MICROTIK AND OAMADA SYSTEM NA ZINGINEZO} SMALL SCALE BUSINESS
hapa tutatumia microtik na omada system at the same time na maana kwamba kuna features kwenye omada hazipo ambazo ni very dangerous sana so ndo maana microtik inatumika lkn pia omada ni...
hiyo ni miwan ya macho hua inatolewa kwa ajili ya watu wenye shida ya presbyopia yan wenye shida ya kusoma na hyperope ambao hawaon karid kwamsaada zaid piga 0776371092
huwe kua kipofu kinachokusumbua wewe ni kitu kinaitwa myopia yan rays of light znashidwa kufika kwenye retina ili zipelekwe na kwakua kinachoona ni ubongo then taarifa haifiki vzr kweny ubongo{visual cortex} ndo maana unapata hiyo shida ndo maana ukapewa concave ili kukusanya miale ya jua...
kama kuna mtu anahitaj miwan mcheki jamaa 0776371092 anatengeneza miwan yote kuna kong site na short site pia ya kusomea kwa wazee na pia wale wa bifocal plastic anatengeneza kwa 60,000 pia kioo 50,000 na miwan ya kusomea 7000 na cases kwa ajili ya miwan 6000 pia kuna miwan inaitwa bifocal...
Wamekudanganya miwan haiwez msaidia ukisema pressure ya macho ama glaucoma huwa unapewa dawa za kuishusha ,eye drops pia ukisema mtoto WA jicho maana cataract hapo hua wanafanya operation ndo unapewa miwani ya jua ambayo unaitumia kama miez mitatu hiv sasa hao waliokwambia unahitjk miwan mmmmh...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.