Recent content by matics

  1. matics

    JamiiForums Tanzania Uliza chochote kuhusu kujiunga Chuo Kikuu Huria Tanzania

    Post graduate diploma ya technical education nayo usomaji wake ni kwa njia ODL?
  2. matics

    JamiiForums Tanzania Fani ya Audiology soko likoje katika nchi yetu Tanzania?

    Fani nzuri tu hiyo, anakuwa mtaalam wa kupima kiwango cha usikivu kwa watu wenye uziwi.
  3. matics

    JamiiForums Tanzania Division two (10) PCB anaweza kupata ualimu UDSM?

    Unapomushauri mtu hakikisha unajua na home background yake kwanza
  4. matics

    JamiiForums Tanzania Niulize chochote juu ya tiba za Mitishamba

    Tiba ya kutokwa na mimba zikiwa chini miezi mitatu ni ipi, ukianza kujibu uanze nini sababu ya hilo tatizo
  5. matics

    JamiiForums Tanzania Udahili wa vyuo vya ualimu

    Majibu mbona hayapo hapa
  6. matics

    JamiiForums Tanzania Udahili wa vyuo vya ualimu

    Jamani napenda kuuliza hivi majibu ya maombi kwa waliomba awamu ya pili ambayo tangazo lilisema yataanza kutoka kuanzia tarehe 20/6/2022, tiari kwenye account za wengine maana yangu kila nikiingia inaniandika hivi, na tatizo ni nini?
  7. matics

    JamiiForums Tanzania Karibu kupata Research Consultation

    Ya Elimu
  8. matics

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusiana na MAD

    Gpa ya ngap inatakiwa kusoma hyo masters,
  9. matics

    JamiiForums Tanzania Karibu kupata Research Consultation

    Ili mtu aweze kujiunga na ngazi ya masters inatakiwa awe na Gpa ya ngap
  10. matics

    JamiiForums Tanzania Kwa mwanamke anaetumia njia za uzazi wa mpango kwa mwanamke anaetumia njia za uzazi wa mpango

    Kwa mwanamke anaetumia njia za uzazi wa mpango mfano kijiti ni kawaida kuingia kwenye siku zake kila mwezi, Nawasilisha.
  11. matics

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mwanamke wangu anaingia hedhi kwa siku 7 au 8

    Je mwanamke anaetumia njia za uzazi wa mpango mfano kijiti,ni sahihi kuingia kwenye siku zake kila mwezi japo damu inatoka kidogo au tatizo
  12. matics

    JamiiForums Tanzania Tarehe ya kufungua chuo UDOM kwa mwaka huu 2021/22 ni ipi?

    Ko je mm nikienda hyo tarehe 6 sitopokelewa
  13. matics

    JamiiForums Tanzania Chuo gani bora

    Vinavyotoa kwa tanzania ni vitatu tu ,Udom, amucta na Out
  14. matics

    JamiiForums Tanzania Chuo gani bora

    Huenda ndo hyo
  15. matics

    JamiiForums Tanzania Chuo gani bora

    Sekomu sku iz hawatoi level ya degree
Back
Top Bottom