Recent content by Mathias Byabato

  1. Mathias Byabato

    JamiiForums Tanzania Faris Buruhani. Ateuliwa kuwa katibu mkuu UVCCM Taifa.

    Taarifa za hivi punde ni kuwa mwenyekiti WA umoja WA vijana ccm mkoa Kagera ameteuliwa kuwa katibu mkuu wa uvccm Taifa. Hongera kwake.
  2. Mathias Byabato

    JamiiForums Tanzania Wazo: Kuthibiti ajali magari kugongana,tutumie 2+1

    Duh . Hakika. Katikati ya jiji unaweza fikiri ni eneo la kila Mmoja anafanya lake..
  3. Mathias Byabato

    JamiiForums Tanzania Wazo: Kuthibiti ajali magari kugongana,tutumie 2+1

    Hakuna mfumo duniani unaweza ondoa kabisa ajali bali unaolazmisha kupunguza uwezekano wa ajali badala ya kutegemea sheria na busara.
  4. Mathias Byabato

    JamiiForums Tanzania Wazo: Kuthibiti ajali magari kugongana,tutumie 2+1

    Ndugu wanabodi. Nimefikiria mbinu inayoweza punguza sana ajali za magari kugongana hasa katika Barbara zetu kuu. Hapa chini ni mapendekezo ambayo nafikiri yakitumiwa na Tanroad,Serikali kuu na polisi kuna uwezekano mkubwa kupunguza hizi ajali. Mfumo wa 2+1 ni nini. Mfumo wa 2+1 Road System...
  5. Mathias Byabato

    JamiiForums Tanzania Natafuta MTU wa kuniandikia proposal ya biashara ya milioni Tano chap.

    hii ndio orodha ya mambo 20 inayohitaji kujua ili kuandika proposal nzuri ya biashara ya milioni 5: Kuhusu Biashara 1. Jina la biashara (kama lipo) 2. Aina ya biashara (kilimo, duka, huduma, uzalishaji, n.k.) 3. Bidhaa au huduma utakazouza 4. Mahali biashara itakapokuwa (mkoa/jiji/eneo) 5. Kwa...
  6. Mathias Byabato

    JamiiForums Tanzania Natafuta MTU wa kuniandikia proposal ya biashara ya milioni Tano chap.

    Install Claude AI . Weka details zako zote. Ni suala la dk 1 tu
  7. Mathias Byabato

    JamiiForums Tanzania Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) yatangaza kuifungia JamiiForums

    TCRA wametangaza kusitisha huduma za jukwaa hili Kwa siku 90
  8. Mathias Byabato

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya habari Tanzania kutoandika habari za madai ya Polepole,kisha kuandika kanusho

    Wengi sana. Kwa kukusaidia tu. Chanzo namba moja cha habari na taarifa kwa watu ni redio. mimi naongelea uhalisia wa jumla. siyo watu wenye ushawishi nk. naweza kukuwekea tafiti kabisa...
Back
Top Bottom