Sawa sheikh yahya kwa utabiri wako mzuri nimekusikia
Shikamooo wabongo
Na ya mtoto si wangu yanaingiaje hapa duuu ukikazana kidogo tu unamfikia marehem sheikh yahya
Wakuu juzi wife amesafiri kwenda kwao kuhudhuria mazishi atarudi Jumatatu
Sasa wife kaniacha mm na housegirl tu nyumbani kaenda na mtoto wetu mdogo. Tangu ameondoka kwa kweli Housegirl huyu nashindwa kumuelewa, juzi hiyo hiyo nimerudi kutoka kwenye pombe zangu usiku kama Wa saa sita hivi...
Viongozi husikeni na somo hapo juu.
Rafiki yangu tulieshibana sana alipewa dawa na mchepuko wake akamuwekee mkewe kwenye chai au kinywaji chochote
Alidanganywa na mchepuko huo kuwa dawa hiyo ni kwa ajili ya kumthibiti mke asiwafuatilie kabisa kwenye mambo yao na haina madhara yoyote.
Wiki...
Wakuu habari zenu,
Nimeona wengi wanakuja hapa kwa ushauri na wanafanikwa nami nimeona niseme langu naweza pata ufumbuzi. Wakuu nilikuja Dar kwa mara ya kwanza kujiunga na chuo sikua nimefika kabla ya hapo
mwezi mmoja tangu tuanze chuo dada mmoja aliniomba tuwe group moja la discussion
baada ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.