Recent content by mathematician1

  1. M

    JamiiForums Tanzania Lowassa acha kuhadaa Watanzania, sema ukweli wako juu ya kuchukia umasikini

    ukisema hivyo mbona mwl nyerere hakufanya hayo mkoani mara?kwahiyo nyerere hakuwa mchapakazi?Kiongozi mzuri ni yule asiyekuwa na upendeleo acheni kuudanganya umma.Usimamizi wa shule za kata uliufanya wewe?na kile chuo kikuu cha dodoma pia ulikisimamia wew?hebu kuwa thinker na usifanye ushabiki...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mbatia anaona nani hafahamu Kiswahili au analinda maslahi gani kwa Lowassa?

    huna jipya leta maada zenye uzito sio hizo maada zisizokuwa na mbele wala nyuma
  3. M

    JamiiForums Tanzania Zikiwa zimebaki siku 20, Mbowe nakukumbusha ahadi yako hii uliyoitoa mkoani Lindi

    ndo maana lowasa anakwambia elimu,elimu,elimu ili watu kama mtoa mada apate elimu ili aelewe maana ya siasa na lugha za kisiasa.
  4. M

    JamiiForums Tanzania NAPE: Kuondoka kwa Mzee Kingunge Chama kimepata ahueni

    nape huna jipya ,unaropoka tu.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Ushiriki wa Dk. Wilbrod Slaa kwenye chama cha ACT-Wazalendo

    anazingua huyo slaa coz alishatangaza kuachana na siasa.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Lawrence Masha akamatwa na Polisi

    dhamana ni haki ya kila mtu kwa mujibu wa katiba ya nchi sasa wamemkamata ili iweje?wao hata wafanye hila gani mwaka huu hawalambi chochote.Tumechoka kuongozwa na maraisi wasiokuwa na upeo wa kufikiri wakishachaguliwa wanapanda ndege kwenda nje kuomba misaada.Hakuna mahali palipoidhinisha CCM...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kuhusu "Wapumbavu na Malofa" Kauli za Dr. Lwaitama na JV Mwapachu

    hawa hawajielewi,so ngoja watuite malofa then ulofa wetu utajulikana tarehe 25 october.
  8. M

    JamiiForums Tanzania YALIYOJIRI: Mkutano wa Ufunguzi wa Kampeni za CCM - Viwanja vya Jangwani, Dar-es-Salaam

    hawana jipya wao hata watukane mwaka huu vijana tutapiga kura kwa wingi ili tuwaondoshe hawa masikini wa kufikiri,ndo maana tangu rais kikwete aingie madaraka akaanza safari za kwenda nje ya nchi kuomba misaada badala ya kuleta mbinu ya namna gani ya kutumia rasilimali za nchi kuinua uchumi wa...
  9. M

    JamiiForums Tanzania CCM imevunja sheria mkutano umefungwa saa 12:34 jioni

    kwanza hawana jipya ndo maana wameanza kutoa matusi badala ya kuzindua kampeni !Rais mstaafu huwezi ukatoa kauli za matusi hata kidogo ,huyo babu amekosea sana.
  10. M

    JamiiForums Tanzania YALIYOJIRI: Mkutano wa Ufunguzi wa Kampeni za CCM - Viwanja vya Jangwani, Dar-es-Salaam

    acheni kutapatapa ,huo ufisadi mnaousema nani ana vithibitisho?mbona mnazungumza mambo utadhani sio wasomi?kama kweli ni fisadi mbona hajawahi hata kuhojiwa kama akina chenge na tibaijuka?
  11. M

    JamiiForums Tanzania YALIYOJIRI: Mkutano wa Ufunguzi wa Kampeni za CCM - Viwanja vya Jangwani, Dar-es-Salaam

    mwambie aanze na kinana katibu mkuu wake maana anakamatwa kila siku na makontena ya meno ya tembo ambayo ni ya kwake then hakuna hatua zinazochukuliwa!tumekuchoka na wew Magufuli coz unatukumbushia kauli zako za kupiga mbizi ,kuliingizia taifa hasara mabilioni ya pesa kwenye uuzaji wa nyumba za...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Jaji Warioba kwenye dk 45 ITV

    hauna akili wewe! watu wenye mawazo mafupi kama yako ndo wanaoisababisha tanzania yetu haisongi mbele badala yake viongozi was chama tawala wamebaki kupiga majungu na kujilimbikizia Mali za umma.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Baraza la Maadili ya Utumishi wa Umma lashindwa kumuhoji Andrew Chenge

    these people they are not serious maana wakati ule wa sakata la escrow walikwepa wakisema Fedha zile hazikuwa za umma ;lakin wanachokifanya saivi naona ni Kinyume cha Yale walokuwa wanayakataa.naona wanaigiza maana hiyo tume yenyewe tayari wameshaanza kujigawa hivyo bas acha wahangaike hapo...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Walimu Iringa University waiba mitihani

    Hao ni wazembe tu mbona wakat tunasoma tulikaa nyumbani mwaka mzima then tuliporudishwa chuo tumefika kama Leo kesho take tukafanya UE na tukafaulu vizuri?halo wachukuliwe hatua za kinidham ili kukomesha tabia hiyo.
Back
Top Bottom