Recent content by matheiavelini

  1. matheiavelini

    Mpangaji sema unataka kupanga wapi mwenye nyumba akujibu mmalizane bila udalali

    Chumba,sebule,jiko kiwe bunju ,kama unacho niambie chap
  2. matheiavelini

    Korosho bei ya jumla

    Mbona hunipigii Sasa
  3. matheiavelini

    Korosho bei ya jumla

    Usishangae ,sokoni Kuna Mchele wa 2700, upo mpaka wa 4000 Kwa kg. Kama nikikuonesha tofauti ya korosho hizi na zile nyingine,upo tayari kununua Leo?
  4. matheiavelini

    Korosho bei ya jumla

    0757334796 nicheki hapo chap
  5. matheiavelini

    Korosho bei ya jumla

    Unawapa kitafunwa gani wageni wako? Wateja wako wanafahamu kwamba, korosho ni kitafunwa pendwa zaidi? Una nafasi ya kuzipata leo kwa bei ya jumla, zimeandaliwa vizuri kurudisha kumbukumbu. Bei ya Jumla; Ikg =21000/ Nusu kg=11500/ Robo kg=7000/ 100g =3000/ Agiza leo nikuletee mpaka...
  6. matheiavelini

    Biashara ya Vifaa vya Ujenzi Dar

    ✓Bati zinatofautiana sokoni bei na ubora. Wateja wanapenda ubora Ila wengi bei zinawashinda Zinazopendwa zaidi Alaf Sunshare Mabati Bomba Dragon( japo Kuna mwaka walizingua kidogo Kampuni zipo nyingi ni wewe kuomba uwe wakala wa kiwanda ni rahisi . At least nshawah KUUZA mbati wakati flan...
  7. matheiavelini

    Naleta wateja kwenye biashara yako/company, unanipa commission

    Nakusalimu Kwa unyenyekevu, na Kumshukuru Mungu Kwa Uwepo Wako. Ndugu Yangu Mimi ni kijana 27Yrs, Naishi kigamboni - Dar es salaam. Graduate wa Science in Education with ICT. Mbali na taaluma pia nimesoma course kadhaa za biashara mf. DIGITAL MARKETING. Nimefanya kazi ya Mauzo Kwa kuzunguka na...
  8. matheiavelini

    Niunganishe na kazi ya mauzo ya kulipwa kwa commission

    Habari! Naitwa Mathei, umri ni miaka 26 ni graduate wa Education &information and Communication technology ( ICT)katika level ya degree. Biashara inahitaji wateja ili kuweza kupata faida na kuendesha biashara, Hivyo basi kama kuna kampuni au biashara binafsi inahitaji kuweza kuongeza mauzo...
  9. matheiavelini

    Natafuta kazi ya ualimu wa shule binafsi kwa masomo ya Physics na Mathematics kwa ngazi ya O-level

    Ndugu naomba nisaidie namba ya headmaster...Mimi ni mwalimu wa Biology & Computer studies..namba yangu 0685726004( sms,call, Whatsapp
Back
Top Bottom