Msaada jamani wanajukwaa,
Kuna mfanyakazi wa umma kaajiriwa na barua yake ya ajira (mkataba), inasema kipindi cha majaribio ni mwaka mmoja.
Kafanya kazi mwaka 1 umeisha, mwaka wa 2,3,4 imepita mwajiri kakaa kimya hajamuongezea muda wa majaribio, hajampa barua ya kuterminate ajira, wala...