Jana nmelipia kutokea tigo, malipo ya serekali wamekata pesa, lakini malipo hayajakamilika nikalipia tena kwa simbank nikafanikiwa, ila mpaka sasa tigo awajarudisha pesa yangu
Hifadhi ya Mikumi kiingilio ni elfu 6 kwa mtu mzima
lakini hifadhi za Northern circuit zote kiingilio ni elfu 10
malazi Mikumi ni kuanzia elfu 40 nakuenderea na chakula ni kuanzia elfu12
karibu sana Mkuu kwa maswali zaidi kupangiliwa safari za utalii na kukuongoza Nicheki +255712944010
Mikumi park entrance fee
Miaka 5 adi15 ni 3000
miaka 16 nakuenderea ni 6000
izo gharama zipo pamoja na Vat.
MALAZI- hifadhini kuna Tanapa Bandas kuanzia elfu40 pamoja na chai asubuhi, ndiyo cheap accomodation inside the park otherwise uende mikumi Mjini ambapo adi elfu15 unapata malazi
USAFIRI-...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.