Recent content by Mateja

  1. M

    JamiiForums Tanzania Gharama ya ujenzi

    Ok
  2. M

    JamiiForums Tanzania Gharama ya ujenzi

    Ok nashukuru
  3. M

    JamiiForums Tanzania Gharama ya ujenzi

    Naomben mnisaidie rough estimation ya gharama ya fundi kumlipa. Sijawahi kujenga nataka nianze kijenga mafundi huwa mnawalipaje mfano mm fundi nataka aanzie msingi hadi boma, je kwa nyumba ya vyumba vitatu master vyote, dinning kitchen store naweza kimlipaje fundi sijui kabisa wanavolipwa...
  4. M

  5. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nipeni ushauri

    Sio nzur hiyo mkuu
  6. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nipeni ushauri

    Sina ushahid kivile mbali na kunionesha kunijali na kujiachia sana kwangu ila hata mm nikikumbuka mwanzoni alivikuwa ananikatalia na alivokuja shoboka na location tu nahis ndo wale watu wa fursa
  7. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nipeni ushauri

    Mkuu siwezi kukuelekeza unishauri vipi ila nachukua ushauri kwa wenzio
  8. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nipeni ushauri

    Nashukuru mkuu
  9. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nipeni ushauri

    Nipo mkoan kikaz ko napokuwa niko alone ndo nilikuwa natumia hii nafas kuwasilian nae but now siihitj ten zambi hii
  10. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nipeni ushauri

    Nachukua ushauri wako mkuu
  11. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nipeni ushauri

    Asante
  12. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nipeni ushauri

    Miezi mitatu iliyopita nilianza uhusiani na binti ambaye hatujawahi kuonana mpaka leo. Tumejuana fb lakini msichana huyo ametokea kinipenda sana kiufupi amezimika namimi. Sijawahi kumwambia kuhusu kumuoa lakini yeye amefanya namna mpaka mfumo huu wa penzi letu ukajikoki kama ni watu...
  13. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mazingira gani ya hatari uliwahi kufanya mapenzi?

    Itakuwa kimali hapo
Back
Top Bottom