Recent content by matcharles

  1. M

    Yamenikuta yakunikuta

    shetani waapi bwana wewe unaonekana hako katabia unako sasa vuna mbegu ulizopanda kwa mkono wako mwenyewe nenda kaombe msamaha na hata ucpo samehewa ni haki kabisa coz hicho ndicho ulichokitaka.
  2. M

    Je hii inamaanisha nini kwa mpenzi wako?

    jamani huyo mdada mbona anarisk maisha yake hivyo? vitu kama hivyo unatakiwa uende nae mguu kwa mguu mkacheki then huyo mwanaume inaonekana katembea na watu ambao ni bad newz ndo maana anashindwa kuwa na uhakika hata wa afya yake KWELI KIPIMO CHA UKIMWI NI KIDOGO LAKINI HUWA KIKUBWA HASA PALE...
  3. M

    Kwa wema wote niliomfanyia huyu house girl, hii ndio shukurani yake aliyonilipa

    Aisee hawa watu hawaeleweki ukimfanyia wema shida ukimfanyia mabaya shida dawa ni kuishi nao kijeshijeshi tu maana ukicheka nao na kuwatendea wema lazima wakutende in return so the only way ni kuwa harsh tu ili hata akikufanyia ubaya ickuume saana.
  4. M

    sifa ambazo sisi wanaume tunapenda wapenzi wetu wawenavyo

    namba nane mi cjaielewa inamaana rafiki zako wasipomkubali utamwacha?
Back
Top Bottom