Recent content by matasha

  1. M

    Tathmini inaonyesha UKAWA itashinda Urais

    Mimi naunga mkono tathmini hiyo mwaka huu ila indication ni kwamba ukawa itashinda kwa kishindo. Ufisadi si hoja na Lowassa atapangua hoja zote
  2. M

    CHADEMA kuja na amsha Wanawake Tanzania, jumapili hii Kawe

    serikali za mitaa zimedhihirisha harakati za chadema zina impact kubwa sana
  3. M

    Jaribio la kijeshi kumuondoa Rais wa Burundi madarakani

    Habari zilizotufikia ni kwana wana wa Africa nchini Burundi wamechukua nchi baada ya kuchoshwa na tabia ya kung'ang'ania madaraka
  4. M

    Kutoka Nkurumah Hall: Mdahalo juu ya miswada ya sheria za makosa ya mtandaoni na takwimu

    Tabia yetu watanzania ni kuvumiliana hata kama mtu mwingine ana mawazo tofauti na wewe. Sasa matusi haya hayatujengi
  5. M

    JamiiForums kushiriki mdahalo UDSM Jumamosi

    UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM Academic Staff Assembly (UDASA) JUMUIYA YA WANATAALUMA CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM (UDASA) KWA KUSHIRIKIANA NA ITV/RADIO ONE inawaalika kuhudhuria Mjadala kuhusu: ATHARI ZA SHERIA YA TAKWIMU NA SHERIA YA MAKOSA YA...
  6. M

    Katiba Mpya: Kisheria, Kura ya Maoni Haitaweza Kufanyika Tena

    Kila mtanzania anataka amani ila amani isitumike kama kisingizio cha kupora haki
  7. M

    Mwigamba Achaniwa suruali kwa kudaiwa

    Siasa za Tanzania ni ngumu sana
  8. M

    Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2015: Tanzania ijifunze toka Mdahalo wa Kenya!

    TAARIFA KWA UMMA UDASA na ITV Kuandaa Midahalo ya Wagombea Urais katika Uchaguzi Mkuu wa 2015 1. Katika nchi za kidemokrasia, midahalo ya wagombea imekuwa ni sehemu muhimu katika kufanikisha uchaguzi ulio huru, haki, wazi na amani. Midahalo hutoa fursa muhimu kwa wagombea kueleza falsafa...
  9. M

    Amos Gabriel Makalla (MB)

    Nadhani amekosea tu kuweka elimu yake ana masters. Ana advanced diploma in accoutancy, cpa na mba tena alisomea marekani
  10. M

    waafrica weusi wanatumiwa kuwauwa wayahudi ki

    Haya mambo si marahisi hivyo kama ulivyoandika
Back
Top Bottom