Hawa hapa the most; Dr Slaa, Maalim Seif Sharif, mch. Mtikila, John Mnyika, Godbless Lema, Freeman Mbowe, wengine ni makamanda wote wa CHADEMA,...
NI CHADEMA kwa kuwa mpishi mkuu wa makamanda wote hao ndio msimamizi na ana msimamo wa kile anachokiamini...namaanisha Katibu mkuu wao Dr. Wilbroad...