Kwa mtazamo wangu ni heshima.
Nilienda mkoa fulani hapa Tanzania, wamama hata watu wazima wanapiga magoti kusalimiana ko sioni kama ana uoga ni heshima.
Kwa uelewea wangu inawezekana na ni mtaji mzuri sana. Ila kabla ya kuanza kaangalie kwanza eneo unalotaka kufanyia kazi mahitaji, na wauzaji wengine wanafanyaje ili usijekuharikiwa mbeleni
Nina wazo la kuanza kufanya biashara ya yeboyebo ninaomba msaada wenu wadau kwa anaejua machimbo na namna gani nifanye hii biashara nifanikiwe.
Pia niwe na mtaji kiasi gani ili kufanikiwa katika hii biashara.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.